Sawa nimeelewa mkuu endeleeni kuf kwa raha zenuWewe tuachie Uislam wetu. Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na tumeridhia Uislam kuwa Dini na tumeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume.
Wala usiminyane. Tunajivunia hilo. Na kufa katika Uislam ni Heshima na Neema kwetu.
Ushajikatia tamaa. Hiko ndicho ulichobaki nacho katika vitimbi masikini.Kweli?
Ni wivu tuHija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,
Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake
Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.
Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,
hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.
Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Usinitupie majini tu maana hamchelewi Mimi nimeuliza kwa wema tu kwamba kweli km sio Nabii na Mtume mboni hatusikii nyinyi mkikemea kwamba hicho Cheo ni cha Mohamed asijivike Cheo kisicho chakeUshajikatia tamaa. Hiko ndicho ulichobaki nacho katika vitimbi masikini.
Hayo tuwaachie wenye Imani yao, either right or not, only God knows.Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,
Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake
Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.
Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,
hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.
Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Masikini ya mungu upo zako kantalamba unawafundisha wasomi na waliobarikiwa jinsi ya kumuabudu mungu wao, huku wewe unaenda kukanyaga mafuta kawe jumapiliHija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,
Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake
Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.
Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,
hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.
Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Daaah sijui hili kama ni kweliHija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.

Hijja yangu nafanyia kizuramimba chini ya mbuyuMasikini ya mungu upo zako kantalamba unawafundisha wasomi na waliobarikiwa jinsi ya kumuabudu mungu wao, huku wewe unaenda kukanyaga mafuta kawe jumapili
HIvi hamjionei hata huruma kabla ya kuanzishaga hizi nyuzi zenu?
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam.
Nguzo nyingine ni shahada,swalat,swaumu na zakat,
Tofauti na Sunni,dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam,shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake
Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo ,tofauti na nguzo nyingine,huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo,sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho.matokeo yake inaonekana kama ni sunna,sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.
Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja,
hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utaliikupitia waumini wake,
Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja,takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.
Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual matokeo yake Allah kushikwa hasira hadi kupelekea vifo vya mahujaj kila mwaka
Huo ni utalii na ni muhusika anataka kujifunza kama anaekuja kutalii huko Isimila stone age siteAnd kwenda Israel kwa wakistro nako?
Umeandika ujinga hadi nimesikitika sanaHija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.
Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake
Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo, tofauti na nguzo nyingine, huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo, sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho. Matokeo yake inaonekana kama ni sunna, sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.
Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja.
Hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utalii kupitia waumini wake. Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja, takribani trilioni 400 za kitanzania,
Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.
Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual.
Saudi Arabia ndio ilikuwa inawatarget hawa kuwapiga pesa.Masikini ya mungu upo zako kantalamba unawafundisha wasomi na waliobarikiwa jinsi ya kumuabudu mungu wao, huku wewe unaenda kukanyaga mafuta kawe jumapili
HIvi hamjionei hata huruma kabla ya kuanzishaga hizi nyuzi zenu?
Kumsalimia mtume!?? Hivi inatofauti gani na kuomba mizimu ya mababu zetu!? [emoji848]Mbora wa viumbe mtume Muhammad. Unakwenda kumpa salam kwenye kaburi lake lililopo msikiti, kwenda kuangalia historia ya uislamu na waislam. Kuna mambo mengi sana kwenye hajii kwa WENYE IMANI binafsi nitakuja kwenda.