Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

mimi ni mfia dini(islam)
ila kwa hapa sipingi,mwarabu kuna ujanja aliuzidisha kwenye hili,ukitoa lile la kutumia kiarabu kwenye masuala yote yanayohusu dini...anatutesa sana waswahili wafuata mkumbo..
Sisi Wakristo hadi tunaletewa Biblia kwa lugha zote kuna watu waliuwawa kabisa kujaribu kutafsiri Biblia. Kanisa linakosolewa kila siku watu wanajitenga yanazaliwa madhehebu mengine. Haikuwa rahisi hadi leo hii tunasoma Biblia ya Kiswahili na misa zinaendeshwa kwa kiswahili.

Kwa upande wenu inaweza ikachukua muda na ni lazima watu waumie wajitoe sadaka ndio mtafika huko.
 
Mkuu ukimuita mtu kafir Thawabu zinaongezeka? Nna majirani zangu hapa Wasabato nataka niwe nawasalimia "Za asubuhi jirani zangu Makafiri?!"
 
Haya siyo maneno Bali ni NENO- Moja ya trap nzuri waliyotuweza sisi waafrika ni kutuwekea hofu...Ya moto na kutamanisha mbinguni, which vyote viwili ni concepts tu.

Wao wanatengeneza Hela za wajinga na kujenga miji Yao na kutengeneza furaha zao hapa duniani ambapo kimsingi ndipo panafaa na Pana sifa zote za kutiwa mbinguni maana ni sisi tu kuamua kupafanya pawe hivyo.

I do respect Imani ya Kila MTU,Lakini AKILI Kila MTU anazo zake,kuzitumia ni Hiyari yake.... Well done ndugu yangu
 
Hauna ulijualo Kwa sababu dini yenyewe umeletewa na Wazungu
Wazungu na dini wapi na wapi

Kama ungeletewa dini na Yesu usingeshangaa watu kuenda Hija

Kumbukumbu la Torati 12:5
Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe wende huko;

Kumbukumbu la Torati 12:6
pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng’ombe na ya kondoo;


Na ndio maana wakati Mtume Muhammad anafunuliwa Quran akaambiwa hao Wayahudi ni jeuri tu ndio inawasumbua lakini haya ninayokufunulia wanayajua kama wanavuowajua watoto wao

Quran 2:146
- Wale tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua.

Pole sana wewe umepotea Kwa sababu ukweli haujui lakini wenzanko waliamua tu kujipoteza lakini ukweli walikuwa wanaujua
 
Kama ulikuwa hujui pole sana siyo kwa waislam pekee hata kwa wakristo hizo ni biashara za utaliii hata serikali wanazibariki maana inawaingizia pesa
 
Wewe tuachie Uislam wetu. Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na tumeridhia Uislam kuwa Dini na tumeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume.

Wala usiminyane. Tunajivunia hilo. Na kufa katika Uislam ni Heshima na Neema kwetu.
Hujaridhia wewe, aliyeshikiwa jambia ndiye kakurithisha, mengine ni historia tu. Ungeachwa neutral ukawa na akili timamu usingeweza kuingia kwenye dini ambayo ina sharti kwamba ukisha ingia ikitokea umetaka kutoka adhabu yake ni kifo. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayeridhia huo mkataba kwa hiari bila kushikiwa jambia
 
Ni kweli waumini wanapigwa sana ila hawajitambui tu kama wasivyojitambua kwa kudanganywa juu ya Muddy.
 
Kadri siku zinavyoenda tunapata watu wenye kujiuliza sana kwenye vichwa vyao hata kwa mambo ambayo hayapaswi kujiuliza. Vijana kama hawa wana mchango mdogo sana kwa taifa.
 
Sema alitusaidia,ungekuwa tungekuwa tunakulana kama simba na swala.
Sio kweli, hata kabla dini za nje hazijaja hatukwa tunakulana kama Simba na Swala. China, India, Korea, Vietnam na nchi nyingine nyingi za Asia hawalani kama Simba na Swala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…