Hijjah ni mpango wa waarabu kupiga hela kupitia utalii, haina uhusiano na kwenda mbinguni siku ya kiyama

mimi ni mfia dini(islam)
ila kwa hapa sipingi,mwarabu kuna ujanja aliuzidisha kwenye hili,ukitoa lile la kutumia kiarabu kwenye masuala yote yanayohusu dini...anatutesa sana waswahili wafuata mkumbo..
Sisi Wakristo hadi tunaletewa Biblia kwa lugha zote kuna watu waliuwawa kabisa kujaribu kutafsiri Biblia. Kanisa linakosolewa kila siku watu wanajitenga yanazaliwa madhehebu mengine. Haikuwa rahisi hadi leo hii tunasoma Biblia ya Kiswahili na misa zinaendeshwa kwa kiswahili.

Kwa upande wenu inaweza ikachukua muda na ni lazima watu waumie wajitoe sadaka ndio mtafika huko.
 
Kuwakusanya watu aina zote, rangi zote kutoka mazingira tofauti tofauti katika sehemu moja wakionana ndugu, hawabaguani, wamevaa vazi moja la kawaida licha ya kuwa wengi wana uwezo (matajiri), kuna wakati wanalala chini, hili unalikuta ktk Uislam tu, Dini kwa ajili ya Wanadamu wote.

Halafu kusema waarabu wanafaidika na Hijja hii hoja huwa siielewi. Wa Saudi wanatumia gharama nyingi kuihudumia Miji mitukufu na mahujaji. Na wale hawana njaa na Allah amewabariki mafuta na mambo mengi na azidi kuwabariki.

Na Hijja ni kwa mwenye uwezo wa kwenda Kuhiji kule. Sio kila mtu anaweza kwenda kuhiji. Hivyo wasio na uwezo wa kwenda kule hawana lawama. Hivyo hiyo ni huruma ya Allah kwa waja wake. Ambayo wewe unasema ni ubaguzi. Ametakasika Allah! Namshukuru Allah kwa Neema ya Uislam.

Ulivyo huna akili wewe kafiri unaweza kusema wanaoruhusiwa kutofunga mchana wa Ramadhan au wanaokatazwa kufunga mchana wa Ramadhan kwa sababu fulani au wanapokuwa katika hali fulani au wanawake wanaoambiwa wasiswali katika hali fulani au tahfifu anayopewa msafiri au mgonjwa katika Swala ni ubaguzi? Au mafukara na masikini wasioweza kutoa Zaka wanabaguliwa? Dini yetu inaendana na maumbile halisi na Mola wetu ni mwenye kuwahurumia waja wake na ni Mwenye Hikma.

Lakini kuna watu ambao hawana uwezo wa kwenda kule wao wenyewe lakini wanasaidiwa na watu wenye uwezo kwenda kule. Mfano Ufalme wa Saudi huwa unawasaidia au kujitolea kuwasaidia baadhi ya watu kwenda kuhiji. Kama mwaka huu kuna watu wamealikwa kwenda kule kuhiji kule kwa ufadhili wa mfalme wakiwemo wapalestina 2000 ambao ndugu zao wameuawa katika genocide huko Gaza.

Halafu wewe kafiri na husda uliyonayo wewe ni nani kuusemea Uislam na Waislam katika Dini yao? Yaani huwa mnajikutaje?

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0

1. Sema: Enyi makafiri! 1

2. Siabudu mnacho kiabudu; 2

3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 3

4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 4

5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6

Na Waislam wanaokufa kule mwisho wao umefikia hapo na ni mwisho mwema. Allah awarehemu wote na akubali Hijja zao. Nasi tunaomba mwisho mwema kama wao. Allah atufishe katika Uislam. Allah atufishe katika Tawheed na Sunnah. Aameen.

Allah awaongoze nyinyi.
Mkuu ukimuita mtu kafir Thawabu zinaongezeka? Nna majirani zangu hapa Wasabato nataka niwe nawasalimia "Za asubuhi jirani zangu Makafiri?!"
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.

Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo, tofauti na nguzo nyingine, huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo, sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho. Matokeo yake inaonekana kama ni sunna, sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja.

Hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utalii kupitia waumini wake. Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja, takribani trilioni 400 za kitanzania,

Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual.
Haya siyo maneno Bali ni NENO- Moja ya trap nzuri waliyotuweza sisi waafrika ni kutuwekea hofu...Ya moto na kutamanisha mbinguni, which vyote viwili ni concepts tu.

Wao wanatengeneza Hela za wajinga na kujenga miji Yao na kutengeneza furaha zao hapa duniani ambapo kimsingi ndipo panafaa na Pana sifa zote za kutiwa mbinguni maana ni sisi tu kuamua kupafanya pawe hivyo.

I do respect Imani ya Kila MTU,Lakini AKILI Kila MTU anazo zake,kuzitumia ni Hiyari yake.... Well done ndugu yangu
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.

Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo, tofauti na nguzo nyingine, huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo, sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho. Matokeo yake inaonekana kama ni sunna, sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja.

Hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utalii kupitia waumini wake. Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja, takribani trilioni 400 za kitanzania,

Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual.
Hauna ulijualo Kwa sababu dini yenyewe umeletewa na Wazungu
Wazungu na dini wapi na wapi

Kama ungeletewa dini na Yesu usingeshangaa watu kuenda Hija

Kumbukumbu la Torati 12:5
Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe wende huko;

Kumbukumbu la Torati 12:6
pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng’ombe na ya kondoo;

Na ndio maana wakati Mtume Muhammad anafunuliwa Quran akaambiwa hao Wayahudi ni jeuri tu ndio inawasumbua lakini haya ninayokufunulia wanayajua kama wanavuowajua watoto wao

Quran 2:146
- Wale tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao huificha haki na hali wanajua.

Pole sana wewe umepotea Kwa sababu ukweli haujui lakini wenzanko waliamua tu kujipoteza lakini ukweli walikuwa wanaujua
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.

Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo, tofauti na nguzo nyingine, huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo, sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho. Matokeo yake inaonekana kama ni sunna, sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja.

Hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utalii kupitia waumini wake. Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja, takribani trilioni 400 za kitanzania,

Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual.
Kama ulikuwa hujui pole sana siyo kwa waislam pekee hata kwa wakristo hizo ni biashara za utaliii hata serikali wanazibariki maana inawaingizia pesa
 
Wewe tuachie Uislam wetu. Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na tumeridhia Uislam kuwa Dini na tumeridhia Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii na Mtume.

Wala usiminyane. Tunajivunia hilo. Na kufa katika Uislam ni Heshima na Neema kwetu.
Hujaridhia wewe, aliyeshikiwa jambia ndiye kakurithisha, mengine ni historia tu. Ungeachwa neutral ukawa na akili timamu usingeweza kuingia kwenye dini ambayo ina sharti kwamba ukisha ingia ikitokea umetaka kutoka adhabu yake ni kifo. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayeridhia huo mkataba kwa hiari bila kushikiwa jambia
 
Hija ni moja ya ngozo katika dini ya kiislam. Nguzo nyingine ni shahada, swalat, swaumu na zakat.

Tofauti na Sunni, dhehebu la shia katika mafundisho yao hawafundishi shahada kama nguzo ya kiislam, shahada ni kama kukiri kwa kinywa chako kuwa hakuna Mungu mwingine ila Allah na Mohamad ni mtume wake

Hijjah ni nguzo iliyokaa kimtego mtego maana inabagua kati ya masikini na wenye uwezo, tofauti na nguzo nyingine, huwezi kwenda hijjah kama uchumi wako ni mdogo, sasa Allah hawezi kuwa mbaguzi kwa waja wake kwa kiasi hicho. Matokeo yake inaonekana kama ni sunna, sunna ni kitu ukifanya sio dhambi na usipofanya pia sio dhambi.

Nikujulishe tu hakuna atakayechomwa moto kisa hakwenda hijja.

Hijja ni project ya waarabu kupiga hela za utalii kupitia waumini wake. Mwaka 2022 Saudia iliingiza dola bilioni 150 kupitia religious tourism hasa hijja, takribani trilioni 400 za kitanzania,

Saudi Arabia inaweza kuendesha nchi kupitia hijjah peke yake kama chanzo cha uchumi bila kutegemea sekta nyingine na chenji ikabaki.

Si ajabu Hijjah asili yake ni matambiko ya waarabu wa kale sema wameigeuza na kuonekana ni something spiritual.
Ni kweli waumini wanapigwa sana ila hawajitambui tu kama wasivyojitambua kwa kudanganywa juu ya Muddy.
 
Kadri siku zinavyoenda tunapata watu wenye kujiuliza sana kwenye vichwa vyao hata kwa mambo ambayo hayapaswi kujiuliza. Vijana kama hawa wana mchango mdogo sana kwa taifa.
 
Sema alitusaidia,ungekuwa tungekuwa tunakulana kama simba na swala.
Sio kweli, hata kabla dini za nje hazijaja hatukwa tunakulana kama Simba na Swala. China, India, Korea, Vietnam na nchi nyingine nyingi za Asia hawalani kama Simba na Swala.
 
Back
Top Bottom