Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Is this you? You are huge.Kama vile Hichi kiungo kilicho nyuma ya mwili wa mwanamke kimemeua ndoto za vijana wengi wa kiume
View attachment 3278767
Haha noma mkuu🤣Wakumbuke kua CHIPS NI VIAZI ☺️
Never seen any "El-Cohen" being a "she" anywhere.Jus' like calling Maganga as a wife of two kids.Is this you? You are huge.
Chakula hiki kimeua ndoto za wanaume wengi nikiwemo mimi piaKama vile Hichi kiungo kilicho nyuma ya mwili wa mwanamke kimemeua ndoto za vijana wengi wa kiume
View attachment 3278767
Kwa mfano izo chips zikiwa sio bidhaa adimu sanaa nyumbani kwa mtu 😊 watoto wazoeshwe kula hata wakikua ama kupata vishawishi Wana kua sio malimbukeni wa chipsHuo ndio ukweli.....
Kujiamini na mafunzo ya SIRI za maisha yanaanzia ndani ya familia....
Baba mjinga na mama mjinga huwa hawafahamu....au hawajali kukaa chini kutoa mfululizo wa semina "ngumu" zenye SIRI ZA MAISHA kwa watoto wao wenyewe.....
HahaChakula hiki kimeua ndoto za wanaume wengi nikiwemo mimi pia
Hakika....Kwa mfano izo chips zikiwa sio bidhaa adimu sanaa nyumbani kwa mtu 😊 watoto wazoeshwe kula hata wakikua ama kupata vishawishi Wana kua sio malimbukeni wa chips
Ni uroho na akili fupi na za kitoto tu za visichana.Mbona Njombe,Iringa,Mbeya,Songwe na mikoa mingine ni chakula cha kawaida sana?
Umelamba na kunyonya ngapi leo maana naona una makamasi mdomoni mwakoIs this you? You are huge.
Huyu anawashwa soda haina kizibo🤣🤣Never seen any "El-Cohen" being a "she" anywhere.Jus' like calling Maganga as a wife of two kids.