Hiki chakula kimeua ndoto za mabinti wengi sana

Ongeza na smart phone. Unakuta binti anamiliki simu hiyo ya laki moja, mbili, tatu, nne na kuendelea huku hana shughuli ya kupata fedha za kununua simu hiyo, anapewa na jibaba fulani halafu anakuwa shefa lake la kunyanduliwa kila muda zee likimuhitaji. Binti anakuwa mtumwa wa ngono kwa kuwa anamiliki simu ya gharama asiyoweza kuimudu
 
N

Nihuzuni
 
Chipsi haina ulimbukeni ,ni kachakula fulani hakakinai,wala hakashibishi kivile,halafu hakana gharama Sana,ila kamekuwa chambo haswa Kwa madent,

Hata akiwa na akiba ya laki tano bado ukimpa chips za 2500 atakushukuru mno
Kwa mfano izo chips zikiwa sio bidhaa adimu sanaa nyumbani kwa mtu 😊 watoto wazoeshwe kula hata wakikua ama kupata vishawishi Wana kua sio malimbukeni wa chip
 
Back
Top Bottom