Hiki chakula kimeua ndoto za mabinti wengi sana

Hiki chakula kimeua ndoto za mabinti wengi sana

Chipsi haina ulimbukeni ,ni kachakula fulani hakakinai,wala hakashibishi kivile,halafu hakana gharama Sana,ila kamekuwa chambo haswa Kwa madent,

Hata akiwa na akiba ya laki tano bado ukimpa chips za 2500 atakushukuru mno
Haha 😂 nikama enzi zile KUNYWA SODA ukimtembelea MTU.

Zamani ukimtembelea MTU akikupa shilingi 500 unaona ndogo Ila ukipewa SODA.. unaenda hadi kusimulia tulienda kwa Fulani tukanywa hadi SODAA..
 
Hata haka kakinywaji kamewarudisha vijana wengi sana kijijini na wengine wamenyoosha kaburini moja kwa moja hawakutaka kusimama.
Screenshot_20250321_165653_Chrome.jpg
 
Haha jf sio mama yako, hata sijal mkuu kama wana hasirra wanitoe kabisa

Ila mtu akiniletea ujinga anapta stahiki yake

Bet ipi mkuu?
Usipopewa ban si Kuna pesa unapewa au imetoweka Tena😹
 
Anyways ni chakula ambacho hakichoshi 😹😹 Kwan Bado wapo mnahonga na kiepe💔
 
Ongeza na smart phone. Unakuta binti anamiliki simu hiyo ya laki moja, mbili, tatu, nne na kuendelea huku hana shughuli ya kupata fedha za kununua simu hiyo, anapewa na jibaba fulani halafu anakuwa shefa lake la kunyanduliwa kila muda zee likimuhitaji. Binti anakuwa mtumwa wa ngono kwa kuwa anamiliki simu ya gharama asiyoweza kuimudu
Hatari sana....
 
Back
Top Bottom