Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Haha 😂 nikama enzi zile KUNYWA SODA ukimtembelea MTU.Chipsi haina ulimbukeni ,ni kachakula fulani hakakinai,wala hakashibishi kivile,halafu hakana gharama Sana,ila kamekuwa chambo haswa Kwa madent,
Hata akiwa na akiba ya laki tano bado ukimpa chips za 2500 atakushukuru mno
Kitamu sana asikwambie MtuView attachment 3278757
katika vyakula vilioondoka na ndoto za mabinti wengi ni hiki. Muunganiko wake labda pamoja na mitinda nyeusi vinatosha kuondoka na ndoto za binti mmoja mmjinga. Tafakari chukua hatua. Fundisha mtoto wako wakike aache ushamba wa tumbo
Sio kweliHata haka kakinywaji kamewarudisha vijana wengi sana kijijini na wengine wamenyoosha kaburini moja kwa moja hawakutaka kusimama.
View attachment 3278839
Mshangazi 💯💯Chakula hiki kimeua ndoto za wanaume wengi nikiwemo mimi pia
Eh ban inakuhusu kwaio ile bet tunakosa hivihivNani mama yako🤣🤣🤣
Haha jf sio mama yako, hata sijal mkuu kama wana hasirra wanitoe kabisaEh ban inakuhusu kwaio ile bet tunakosa hivihiv
Usipopewa ban si Kuna pesa unapewa au imetoweka Tena😹Haha jf sio mama yako, hata sijal mkuu kama wana hasirra wanitoe kabisa
Ila mtu akiniletea ujinga anapta stahiki yake
Bet ipi mkuu?
HahahahahUsipopewa ban si Kuna pesa unapewa au imetoweka Tena😹
a matembezi yangu niliona iyo comment kumbe uongo💔Hahahahah
Sijwahi kuona hio , nani aliniwekea ??
alafu hapa unishauri eti nitumie condom,unakuwa unapoteza mudaKama vile Hichi kiungo kilicho nyuma ya mwili wa mwanamke kimemeua ndoto za vijana wengi wa kiume
View attachment 3278767
Ni uroho na akili fupi na za kitoto tu za visichana.Mbona Njombe,Iringa,Mbeya,Songwe na mikoa mingine ni chakula cha kawaida
Kwani huko zinapatikana bure? Njombe ndio ghali kabisa, kumbuka hapo kuna mayai na kuku au unafikiri wanakula viazi mbichi?
Hatari sana....Ongeza na smart phone. Unakuta binti anamiliki simu hiyo ya laki moja, mbili, tatu, nne na kuendelea huku hana shughuli ya kupata fedha za kununua simu hiyo, anapewa na jibaba fulani halafu anakuwa shefa lake la kunyanduliwa kila muda zee likimuhitaji. Binti anakuwa mtumwa wa ngono kwa kuwa anamiliki simu ya gharama asiyoweza kuimudu