Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

Mlivyoshonwa 5 mlinunuliwa bei gani?
 
Take it as advantage kwako anza kubet,weka milioni kwa yanga upate faida laki mbili maana ushindi ni uhakika
Kabisa mkuu kama anaona tunanunua mechi aweke million 10 uwe mradi wake wa kumuingizia kipato
 
Ile kauli ya rage inajidhihirisha kupitia huyu mbumbumbu.

NB rage apewe ulinzi wa kutosha
 
Na lile kono la nyani pia tulilinua kwenu,ngoja jumamosi ijayo tukupige tena
crystal palace amempiga liverpool,Aston villa amempiga Arsenal mpira unachezwa hivyo sio timu sita zote za mtu mmoja mnafukuza mwizi kumbe wale walio mbele karibu yao ni wenzie wanamsadia mwendo hatari sana kwa hii janja janja!
 
Hata viongozi wa Simba wamewekwa na Yanga.
Yaani badala ya kuzisaidia timu zake alizozinunua yeye anazitumia timu zake kuisaidia timu amnao siyo yake?
Na nyie kwanini msizifunge timu hizo? Na mbona na nyie mnafungwa kama timu hizo?
 
Na nyinyi mkifungwa tarehe 20 mtakuwa mmenunuliwa, au itakuwa ni sehemu tu ya mchezo?
 
Kolo kwenye ubora wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…