Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

Yani ule mshuti wa Aziz Ki hata angekuwa kipa wako Ayub asingedaka afu3unasema mechi imenunuliwa!!!?πŸ™„
 
Hivi Jana Yanga kacheza na Ihefu (Singida Black Stars) na TFF wametuficha?
 
kwa swala hili wakulaumiwa ni viongozi kama simba walikwisha liona hili sasa kwanini hawakuchukua maamuzi ikiwa ni pamoja na kujitoa kushiriki ligi hii ingekuwa dawa na fundisho na ligi ingekuwa ya haki lakini bado unapeleka timu kufanya nini wakati ni ligi ya mtu mmoja
 
Unazungumzia gemu ipi muzeye.
 
Na tarehe 5 Novemba 2023, 5imba nayo ilinunuliwa ili kuitengenezea Yanga points
 
Yule guede goli la kwanza kasaidiwa na kichwa cha yule mchezaji wa singida kusukumiza ndani...yani hii ligi ni utopolo mtupu...
Pole sana Masandakolozidad, nitakutembelea hapo Dom si muda mrefu nikupooze machungu Mtani [emoji28]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Na mkijichabganya tena mnakula kono la nyani vilevile. Mpaka mseme
 
Na simba pia kuna point sita
 
Aucho nusu avunjwe miguu ambapo ilibidi aliyemchezea rafu mbaya akiingia kwa miguu miwili ale kadi nyekundu lakini alipewa kadi ya njano, bado unakaza tu fuvu kuwa Yanga SC ilinunua mechi [emoji848][emoji57]
 
Mechi za mchongo!
 
Wewe ukipigana na mwakinyo utaonekana hujitumi kisa kakuzidi kila idara. Yanga iko vizuri na msipojiweka vizuri hujakosea itabeba kombe kila msimu.
 
Wewe ukipigana na mwakinyo utaonekana hujitumi kisa kakuzidi kila idara. Yanga iko vizuri na msipojiweka vizuri hujakosea itabeba kombe kila msimu.
Point kumi nani atazifikia na zimewekwa kabatini makhususi kwa yanga tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…