Dreamliner787
JF-Expert Member
- Mar 24, 2017
- 562
- 362
😂😂😂😂Acha wivu. Mbona nyie SIMBA tuliwafunga 5 ? Huriziki tu?
Na tarehe 20 tunawafunga magori ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Acha wivu. Mbona nyie SIMBA tuliwafunga 5 ? Huriziki tu?
Na tarehe 20 tunawafunga magori ya kutosha
Hivi Jana Yanga kacheza na Ihefu (Singida Black Stars) na TFF wametuficha?Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
kwa swala hili wakulaumiwa ni viongozi kama simba walikwisha liona hili sasa kwanini hawakuchukua maamuzi ikiwa ni pamoja na kujitoa kushiriki ligi hii ingekuwa dawa na fundisho na ligi ingekuwa ya haki lakini bado unapeleka timu kufanya nini wakati ni ligi ya mtu mmojaNimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Unazungumzia gemu ipi muzeye.Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Jana Yanga kacheza na Ihefu (Singida Black Stars) na TFF wametuficha?
Na tarehe 5 Novemba 2023, 5imba nayo ilinunuliwa ili kuitengenezea Yanga pointsNimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Pole sana Masandakolozidad, nitakutembelea hapo Dom si muda mrefu nikupooze machungu Mtani [emoji28]Yule guede goli la kwanza kasaidiwa na kichwa cha yule mchezaji wa singida kusukumiza ndani...yani hii ligi ni utopolo mtupu...
Na mkijichabganya tena mnakula kono la nyani vilevile. Mpaka msemeNimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Na simba pia kuna point sitaNimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Aucho nusu avunjwe miguu ambapo ilibidi aliyemchezea rafu mbaya akiingia kwa miguu miwili ale kadi nyekundu lakini alipewa kadi ya njano, bado unakaza tu fuvu kuwa Yanga SC ilinunua mechi [emoji848][emoji57]Hayo ni mawazo yako ila kilichopo si kizuri kwa mpira wa bongo hatukuanza kuangalia mpira jana sasa kama wewe ni simba mimi sio simba tengeneza hiyo timu yako mimi hata ikifungwa mia hainihusu kinachonihusu ni kuchezwa ligi yenye fair sio mtu ananunua timu za kuraisishia timu nyingine kupata ushindi bila kuhenyeka ndio maana wabongo hamfanikiwi kwa lolote kwa kupenda njia za mkato!
Mechi za mchongo!Aucho nusu avunjwe miguu ambapo ilibidi aliyemchezea rafu mbaya akiingia kwa miguu miwili ale kadi nyekundu lakini alipewa kadi ya njano, bado unakaza tu fuvu kuwa Yanga SC ilinunua mechi [emoji848][emoji57]
Wewe ukipigana na mwakinyo utaonekana hujitumi kisa kakuzidi kila idara. Yanga iko vizuri na msipojiweka vizuri hujakosea itabeba kombe kila msimu.Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga.
wengi wasichokijua nyuma ya pazia mdhamini mkuu wa Yanga yeye ndio master mind wa mchongo wa kununua hizo timu anapenyeza pesa kwa kiongozi wake wa baraza la wadhamini ,
hivyo timu nyingine kila mtakavyopambana jueni Yanga tayari ana point sita mzunguuko wa kwanza na mzunguuko wa pili kwa Singida Fountain na Singida Black.
Mdhamini wa Yanga kaapa hata kama Singida zote zitashuka basi plan yake ni kununua timu tatu nyingine.
TFF nao pia wawe makini kwa kuwa huu mpango sio mzuri kwa afya ya soka la bongo ,huku timu zinashinda kimchongo zikienda huko kimataifa robo fainali ndio mafanikio yao.
Mnaishia kumtukana Motsepe ili hali mnajua magahamu mnayoyafanya, leo mpira kabla haujachezwa tayari unajua kabisa timu fulani inakwenda kufungwa kwa kuzote ni za mmiliki mmoja.
Kiukweli sio poa hata kidogo ligi inapoteza hadhi na mvuto!
Point kumi nani atazifikia na zimewekwa kabatini makhususi kwa yanga tu!Wewe ukipigana na mwakinyo utaonekana hujitumi kisa kakuzidi kila idara. Yanga iko vizuri na msipojiweka vizuri hujakosea itabeba kombe kila msimu.
Na mashujaa pia ni Tawi la yangaWasubiri Utopolo waje wakumwagie povu
Mwambie jobe au fred asaidiwe na refa.Yule guede goli la kwanza kasaidiwa na kichwa cha yule mchezaji wa singida kusukumiza ndani...yani hii ligi ni utopolo mtupu...
vipi tulipowafunga mlikuwa mmelipwa au?Point kumi nani atazifikia na zimewekwa kabatini makhususi kwa yanga tu!