Hiki ndicho alichopost Zari baada ya picha za Hamisa na Diamond kuvuja

leta hizo picha basi tuone
 

Wewe utakuwa mchawi au mganga wa kienyeji kila mtu anaugulia maumivu kivyake binadamu hatufanani kimatendo na kinafsi.
 
Huyo hamisa kaona kapataaaa bwana. Anamuumiza mwenzake.
,"bwana mwenyewe cha wote "
Akichokwa yeye atamtafuta Gigi money [emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wabadilishane viti kama kwenye mwendokasi
Na labda raha ya mwenzio ni kuwa na mwanaume mwenye eka eka km izo, leo zari, kesho dillish, Mara baadaye hamisa hahaha
 
Halaf ambaye huna bentley unajiona una peace of mind?!


Hahahahaha
 
watu mnagombania mwendokasi ila mnajifanya mnadiss bentley // wabongo bwana kazi kudiss vitu hamuwezi afford / kila mtu anangoneka but kila mtu ana bentley / https://jamii.app/JFUserGuide people feelings / mwenzenu anaumia ndan ya bentley nyie mnaumia tu ndani ya nyumba ya kupanga acheni ufala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…