Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina bei ya hatari aisee...nimeona moja used mtandao hiyo bei yake ikabidi nifunge pagekwa hyo zari ndo anaturingishia hio bentley yake au
[emoji23][emoji23]Ina bei ya hatari aisee...nimeona moja used mtandao hiyo bei yake ikabidi nifunge page
leta hizo picha basi tuoneLeo kwa wale wapenda ubuyu ilikuwa siku nzuri baada ya picha za Diamond na Mwanadada Hamisa Kuvuja wakiwa chumbani Katika Hali ya Mahaba. Huku team Hamisa na Team Wema wakiwa wenye furaha kwa kilichotokea na kumkebehi Zari na kumtukana wengine wakizusha kalazwa kwa pressure , wale wapenda ubuyu tukawa tunasubr Zari atakuja na Majibu gani hiki ndicho alichopost Kwenye page yake ya Insta. View attachment 591138
Inacheza kam ngap?[emoji23][emoji23]
acha tu aisee mkuu ...na mimi nimeicheki bei nimeishia kuguna tu na kunywa maji yangu
Hata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
uwezo wako wa kufikiri umeishia apaHata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee
😀😀😀😱😱😱😱 Hamisa anajivunia kumiliki Dyudyu hizi ni Akili za Celeb wetu wanatuangusha 🙁😡
Na labda raha ya mwenzio ni kuwa na mwanaume mwenye eka eka km izo, leo zari, kesho dillish, Mara baadaye hamisa hahahaHuyo hamisa kaona kapataaaa bwana. Anamuumiza mwenzake.
,"bwana mwenyewe cha wote "
Akichokwa yeye atamtafuta Gigi money [emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wabadilishane viti kama kwenye mwendokasi
Leo mbona sioni akiandika snapchathuyu anaungulika tu ila ajajikaza asiwaangushe team yake ambao wamekuwa wakimnasibisha na ustrong woman..... inakuwa Kama mtoto mdogo akianguka na ukamsifia kwamba ameruka basi kitajikaza kisilie kumbe kimeumia
Halaf ambaye huna bentley unajiona una peace of mind?!Hata apost magari yote duniani lakin swala la ben 10 wake kupeleka bmdogo kitandan kwake amemdhalilisha.. So she should relax and apambane na hali yake! Hata udrive bentley, Lamborghini etc but kama huna peace of mind hakuna kitu! Mwsho upate ajali bureeee