Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Dogo mi naelewa. Hasara inakuwa kwetu. Na tumeona kilichotukuta Caf CL. ni mambo haya haya ....Kwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Wewe bwege kweli fainali ya shirikisho tulifaika kwa kulegezewa?Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Mbumbumbu mwenzako huyoAkili zimeanza kuwaka sawa
Bolezdad walitulegezea?Dogo mi naelewa. Hasara inakuwa kwetu. Na tumeona kilichotukuta Caf CL. ni mambo haya haya ....
Kwa hapa huelewi kitu bwana mdogo. Endelea na timu yako tuachie timu yetu.Dogo mi naelewa. Hasara inakuwa kwetu. Na tumeona kilichotukuta Caf CL. ni mambo haya haya ....
Dhambi iko wapi wakichukua? Kwani hizo za Zanzibar sio timu Madame?Mfano ni jana tuu kweny kombe la mliofeli pote pote..zimamoto waliwakazia vibaya mnoo...
Jasho likawatoka...
Na fainali wanachukua wazanzibari....
Mmezoea vya kunyonga
Sawa...ni timu shida hizi timu za bara zinaletaga dharau...Dhambi iko wapi wakichukua? Kwani hizo za Zanzibar sio timu Madame?
Mnapenda sana kujitoa ufahamu sasa ambacho hujamuelewa mtoa mada ni nini hicho kikosi huo uzuri wake mnashindwa vipi kuuonesha huko kimataifa mnaishia kuuonesha kwa kina kengold tu, mfano cafcl katika makundi yote kundi lenu ndilo lilikuwa jepesi na hata wenyewe mlishangilia mlivyopangwa nao ila cha ajabu mkashindwa kuvuka sasa huo ubora uko wapi, anyway mimi naona endeleeni kujiona mna kikosi kizuri msikiboreshe wala msiache kufanya match fixing ili kimataifa muendelee kuishia hatua za awali sisi ndio furaha yetuKwa hiyo timu ikiingia kwenye mfumo isipigwe tano? Ulikuwepo wakati wanaomba kulegezewa? Unataka kusema hizo timu haziwezi kufungwa na Yanga?
Yanga ina kikosi kizuri sana na bado itaendelea kuimarika.
Acha mpira uchezwe wakichukua kama msimu uliopita itakuwa jambo jema kwao. Kombe la muungano ni bonanza la kuwapa physical fitness wachezaji wakati ligi imesimama.Sawa...ni timu shida hizi timu za bara zinaletaga dharau...
Azam pia waliwalegezea Yanga?Kocha aliposema ligi yetu ni dhaifu alikuwa anaona matches ambazo tunacheza na teams zinavyolegea na kufanya makosa ya kipuuzi.
Lengo letu ni kuwapiga watu mkono na makono wakati mwingine. Lakini ilikuwa haisaidii team. Tunaona mikia jinsi wanavyokaziwa ndani ya ligi. Inawasaidia hata mashindano ya kimataifa. Mkazo huo ni faida kwao.
Sisi tunapowaambia watulegezee hatujifunzi kukaziwa. Matokeo yake matches ambazo hawatujui tunaumia sana na kuona hatujazoea. Mi nashauri viongozi waikomaze team. Tuache kuwaambia wapinzani walegee tuwafunge nyingi. Ni aibu kwetu.
Watu wanaongelea msimu huu wewe unaleta habari za kale, kwani kikosi cha sasa ndio kile kile kilichofika fainali cafcc, na kama mlikuwa na kikosi bora mlishindwa vipi kuchukua kombe lileWewe bwege kweli fainali ya shirikisho tulifaika kwa kulegezewa?