Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

Hii Chai peleka Facebook.
 
Mimi bwana Kuna siku nimepita makaburini mchana na jua linawaka,ghafla nikatokewa na watoto mapacha wanachekaaaaaa,wamekaaa juu ya kaburi ati![emoji23][emoji23]
Hao walikuwa vibwengo tu my brother. Dawa yao ilikuwa bakora za kichwa wote wangetoka nduki pamoja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeitaja hiyo Loha umenikumbusha mbali sana. 1993 ( std 2) 1994( std 3) 1995( std 4)

Mambo ya Amrish Puri na Mithun Chakraboth.

Movie yangu pendwa ilikuwaga Tridev( Oye Oye) Dance Dance, Disco Dancer, Vishwatmar, Andha Kanoon


Nolstagia is real
Loha ameigiza Dharmendra na Amrish Puri sio Mithun Chakrabot
 
Hata wao zipo ndo maana Hadi movies wanaziectia.
Sisi huwa tunaishia kwenye kusimulia tu
Asante brother kwa kumuelewesha mtu asieijua dunia. Kujua kusoma na kuandika kuna mfanya ajione muerevu.

Hapo ndo nakumbuka ule msemo wa mjinga akierevuka, muerevu hukaa mashakani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya makaburi ya kwa jongo hayana wachawi zaidi ya usiku kujaa waganga wa kienyeji wakiwa na wateja wao mfano mganga wa diamond uwa ndio eneo lake la kuwatibia wasanii na mbuzi wapo wengi sana wamejaa pale makaburini wanazaliana mpaka leo hawana mmiliki kwani wenyeji wana waogopa kuwachukua ,wanadai wamesomewa albadili.
Mimi kipindi cha ujana nimekatiza sana hapo katikati ya makaburi tena muda mbaya saa 8 mpaka saa 9 nikitoka kwenye muziki kurudi nyumbani zaidi nilikua nakutana na waganga wakiwa na wadada au wamama.mji huu watu wanaishi kwa mambo ya ajabu sana.
 
Nilikuwa timamu boss, ila vibwengo waiamua kunionesha kuwa na wao wapo, baada ya kuchoka kunivumilia kila siku nilipokuwa napita pale.
dah!
Ile mbio umetimka najaribu kuimagine Hussein Bolt sijui kama angeuona au kukukamata aise πŸ’

kweli vibwengo sio vitu vya mchezo mchezo.....

napendekeza ikiwezekana vibwengo vitumike kuibuka vipaji vya wakimbiaji wenye kasi na spidi zaidi πŸ€“
 
Mkuu kama mzuka wa mbuzi wenyewe umetoka nduki, mimi nikae kama nani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie waoga sana, hakunaga hayo mambo. Tatizo mnayatengeneza vichwani mwenu, mnakuja kusimulia uongo.
 
Hata walioenda kwa mkaburu miaka hio waliinjoi sana.
Kwakweli maisha ya kuinjoi yalikuwa miaka ya 90 kurudi nyuma
Huu ulioandika hapa ni ukweli mtupu, sema watoto wa miaka ya 2000 kuja juu hawawezi kukuelewa.
 
Anaitwa nani huyu staa?(huyu alienyoa kama A-Team)
Kazi yake kubwa ilikuwa ku act kama villain.
Huyo anaitwa mzee Ashanti jina lake halisi nimelisahau.

Huyu alikuwa aki act adui alaf sterling Dharmendra lazima banda la video lijae watu siku hiyo.
 
ikabidi nigeuke ili nitoke nduki maana niliona pale hata karate zangu haziwezi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Karate mbele ya mbuzi anavuta sigara huku anabanja, si bora nitoke nduki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…