Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

Hapo hata mimi ningekukimbia nikuache peke yako makaburini kwako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulikutana namasizimwe mdogo angu🀣🀣
 
Ulikutana namasizimwe mdogo angu🀣🀣
Kaka hao masizimwe ni vibwengo, majini, mizuka au misukule?
Maana mpaka leo sijajua wale walikuwa ni viumbe gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ulitakiwa utulie kwenye kiba-dachi au juchum seogi, hapo ungeona jinsi wanavyosepa mbio na kukuachia makaburi
 
Hawaniwezi
Ukiona hivyo ujue Mungu yuko upande wako.

Kipindi fulani nilienda Rufiji mwisho kabisa katika kijiji fulani kinaitwa mloka. Kutokana na ubovu wa barabara na mvua ilinyesha nyingi tukafika kule usiku kama saa 6 hivi.

Japo ilikuwa usiku na tuliruhusiwa kulala ndani ya gari, lakini mimi sikutaka kulala ndani ya gari, nikaona bora niende kulala katika gesti ya karibu alafu asubuhi niendelee mpaka kijijini. Gesti ya pale stand ilijaa hivyo nikapata nyingine ya pembeni kidogo na stand.

Nimeoga nikaingia ndani kujipumzisha huku nachungulia chungulia JF kama ilivyo kawaida yetu members. Ilipofika mida ya 7 na nusu nikaanza kuhisi nywele kusisimka, alaf kama vile nahisi nimekaa na watu ila siwaoni. Nikawa siijali ile hali nikahisi labda ni hali ya mchoko tu anbayo imesababisha akili nayo ichoke. Baadae nikaona mlango wangu unafunguliwa, na wakati nilifunga kwa ndani. Ila baada ya kufunguliwa sikuona mtu anaingia. Nikanyanyuka taratibu kuelekea mlangoni ili kuchungulia na kujua ni nani aliefungua mlango ule.

Sikuona mtu nikaufunga, nikarudi kitandani. Ghafla nikaona kitanda changu kishakuwa upande mungine wa dirisha, nikasema msinitanie, nikatoka nje nikaenda kukaa katika kibaraza kilicho karibu na dirisha langu alafu nikachukua sim nikaweka movie ya X (porn) nikaweka kasauti kakubwa kidogo, nikawa naongea mwenyewe nasema kama kuna mtu anataka kuangalia na mimi hii movie ruhusa.

Kumbe wale jamaa wakiwa katika mambo yao huwa hawapendi mambo ya kijinga jinga namna hiyo. Nikasikia bonge la msonyo alafu eneo likawa kimya. Mimi sikurudi ndani wala sikulala. Ilipofika saa 11 alafajir, nikaoga na kuondoka zangu kuelekea kijijini.

Nilipowaeleza wenyeji wangu, wakasema jamaa walikuwa wanakuja kukupima, ila wakagundua kuwa wanaempima mwenyewe ameshavurugwa tayari na maisha. So wakaamua kwenda kumtafuta mnyonge mungine kule katika gest ya stand πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maiti juu ya jeneza anajamba hii kali ya mwaka 🀣🀣🀣🀣
 
Hayo mambo ya bagamoyo nilikuwa nayasikia ila sikuwa nayaamini hata kidogo. Kumbe kweli yapo.
So sad...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…