Hiki ni kiwango kilichopitiliza cha Ukatili kwa watoto

Kusema ukweli utandawazi umeharibu maadili hivi hapo kina kipi cha ajabu? Kipindi tunasoma sisi mwalimu wetu alikuwa anakuvua kaptura unabaki na chupi ndo anakushushia mvua ya fimbo lakn hakuna kulalamika.
Lakin sasa hiv mnataka mtoto akikosea apetiwe petiwe acheni mambi yenu bwana nyie ndiyo mnasababisha maadili yanaporomoka
 
Ila kwa Mimi angekula ngumi mpaka akome!
Si ushakua mtu mzima, si ushaweza kutype ndio maana unaongea hvo. Hao ni watoto wamelelewa ukarimu na heshima, ndio maana wanakubali, kwao hayo ni yakupita wanaona wamefanya makosa makubwa sana ndio kulubali huko.
Wewe sahvi hata uambiwe umalaya acha unaona unazinguliwa, kwao wanaona tabi mbaya haifai.
Sasa ngumi wataweza hao na mtu mzima huyo.
Huyu ni wakudeal nae sisi watuwazima mpaka awajibishwe.
 
Dini ya haki hiyoo.. Mwalimu safi sanaa. Manake kuna wazazi wanafuata sana mkumbo kitoto kidogo eti kinaenda chuo na kuvaa shungi..

Hakina hata kinachojua.. Kitoto cha miaka Tano eti kinafunga ramadhani Maana Muislam kufunga lazima siyo hiyari.. Vitoto vya kiislam vinateseka sanaa..
 
Kusema ukweli utandawazi umeharibu maadili hivi hapo kina kipi cha ajabu? Kipindi tunasoma sisi mwalimu wetu alikuwa anakuvua kaptura unabaki na chupi ndo anakushushia mvua ya fimbo lakn hakuna kulalamika.
Lakin sasa hiv mnataka mtoto akikosea apetiwe petiwe acheni mambi yenu bwana nyie ndiyo mnasababisha maadili yanaporomoka
Hajawahi washenyeta mzee. Au unataka na watoto wa sasahvi wavuliwe bukta kama wewe. Hivi una watoto wewe.
 
Si ushakua mtu mzima, si ushaweza kutype ndio maana unaongea hvo. Hao ni watoto wamelelewa ukarimu na heshima, ndio maana wanakubali, kwao hayo ni yakupita wanaona wamefanya makosa makubwa sana ndio kulubali huko.
Wewe sahvi hata uambiwe umalaya acha unaona unazinguliwa, kwao wanaona tabi mbaya haifai.
Sasa ngumi wataweza hao na mtu mzima huyo.
Huyu ni wakudeal nae sisi watuwazima mpaka awajibishwe.
Nilimpa kichapo mwalimu nikiwa darasa la 2,Ndio maana naongea nilichokifanya mkuu nikiwa mtoto!
 
Umepiga walimu mara ngapi? Wenzako wangapi walifanya kama wewe?
Hukuwahi kupigwa tena kwa adhabu mpaka unamaliza la saba darasa uliloishia.
Maana mimi nimechapwa toka chekechea hadi form four ni advance tu sikuwahi ona fimbo.
 
Kusema ukweli utandawazi umeharibu maadili hivi hapo kina kipi cha ajabu? Kipindi tunasoma sisi mwalimu wetu alikuwa anakuvua kaptura unabaki na chupi ndo anakushushia mvua ya fimbo lakn hakuna kulalamika.
Lakin sasa hiv mnataka mtoto akikosea apetiwe petiwe acheni mambi yenu bwana nyie ndiyo mnasababisha maadili yanaporomoka
Ninyi ndio mmeifanya hii nchi kua masikini mpaka kesho.

Yaani unachapwa uchi na unakaa kimya, mlikua mazombi wa namna gani aisee.
 
Si ushakua mtu mzima, si ushaweza kutype ndio maana unaongea hvo. Hao ni watoto wamelelewa ukarimu na heshima, ndio maana wanakubali, kwao hayo ni yakupita wanaona wamefanya makosa makubwa sana ndio kulubali huko.
Wewe sahvi hata uambiwe umalaya acha unaona unazinguliwa, kwao wanaona tabi mbaya haifai.
Sasa ngumi wataweza hao na mtu mzima huyo.
Huyu ni wakudeal nae sisi watuwazima mpaka awajibishwe.
Mwanangu humchapi hivyo na madrassa ndo basi tena,toka nizaliwe sijawahi piga kiumbe Cha kike Leo mwanangu unampigaje hivyo.
 
Kuna shule ya ipo karibu yangu hapa madogo wanakula sana mboko, sasa imagine dogo kala mboko skuli, kafika home msosi hakuna, anawahi madrasa huko nako anakutana na bakora 5 za moto.

Huyu akija kua kibaka kukutia bisu hataona kazi dadeki.
 
Back
Top Bottom