Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
-
- #41
We shida yako nini? Au wewe ni miongoni mwa wanaoitwa watu wasiojulikana?Sasa wewe unasema yuko Tweeter lakini wewe unampa ushauri huku JF!! Hivi wewe una akili timamu kweli??
Kwani wewe ID yako siyo Fake?We shida yako nini?Au wewe ni miongoni mwa wanaoitwa watu wasiojulikana?
Weka picha yake chifu.Katoto kamoja kafupi, kana rangi ya chocolate halafu kamejaza zile 'lahma' zenye ladha!
Halima Mdee asingewahi 'kubutua kombolela' kutetea wanyonge kina Nusrat basi nahakika 'Kamati kuu' ingemteua kuwa Mbunge wa viti Maalum
Hilda hayupo Tz... kwa taarifa yako. Hizo ndo faida za uanaharakati wa kujitambulisha hadharani kuliko akina "Salary Slip" au "Erythrocyte" mnaojificha kwenye fake name 😊Dada yangu Hilder, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.
Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea na hapa ndipo pananifanya nikuunge mkono kwani hata mimi nachukizwa sana na mambo kama uonevu, unyanyasaji, mauaji, utesaji, doublestand, usaliti na mengineyo ya aina hiyo ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu ya maisha yetu katika Taifa hili.
Hata hivyo, kwakuwa unafahamika kwa maana ya kutotumia ID fake huko Twitter, nakushauri uwe makini katika nyendo zako kwani unagusa watu fulani ambao wanaweza wasiwe wavumilivi.
Endeleza mapambano ila kuwa macho na watu wasiojulikana.
Yuko wapi?Hilda hayupo Tz... kwa taarifa yako. Hizo ndo faida za uanaharakati wa kujitambulisha hadharani kuliko akina "Salary Slip" au "Erythrocyte" mnaojificha kwenye fake name [emoji4]
Weka picha yake chifu.
Hahahahaha ......haya ni mambo binafsi...assessment ya uumbaji wa Mungu hauna ushirika na Kamati Kuu.Ntaitwa Msaliti na 'Kamati kuu'
Huyo Hilda ndio huyu maana wengine hatuna hata account huko na uzi bila picha chochote kinaweza kutokeaMitano tenaaaaaa.View attachment 1640770
Acheni uhuni wa kupaishana, nani amtafute huyu?Dada yangu Hilder, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.
Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea na hapa ndipo pananifanya nikuunge mkono kwani hata mimi nachukizwa sana na mambo kama uonevu, unyanyasaji, mauaji, utesaji, double standards,usaliti na mengineyo ya aina hiyo ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu ya maisha yetu katika Taifa hili.
Hata hivyo, kwakuwa unafahamika kwa maana ya kutotumia ID fake huko Twitter, nakushauri uwe makini katika nyendo zako kwani unagusa watu fulani ambao, kwa hulka zao, wanaweza wasiwe wavumilivi hivyo kuwa makini sana.
Endeleza mapambano ila kuwa macho na watu wasiojulikana.
UMEONGEA JAMBO LA busara na la hekima... Hii jamii forum kumejaa watu walio na uwezo mdogo wa ku reason mambo kwa kweli.na wamejaa chuki sana badala ya kujibu hoja wanafanya kitu kinaitwa body shaming kwa watu wengine kana kwamba wao ni wazuri sana .Yote uliyoongea sio sahihi,and here is why:
---Umeshindwa ku-attack hoja,umeishia kuongelea uzuri wa sura as if yeye ndio alichagua kujiumba vile?As if na wewe upo kwenye upper hand maana ulichagua sura nzuri somwhere?Umegeukia biology ambayo mwanadamu hana maamuzi nayo including wewe binafsi unajitia kujipa mamlaka ya kukosoa biology za watu
---Akiamua kuwasaidia wenzake wafanikiwe kwenye siasa nadhani ni uamuzi wake,sidhani kama wewe upo kwenye position ya ku-critisize uamuzi binafsi wa mtu..Kama wewe hutaki kusaidia mtu,basi ni wewe,yeye kaamua kusaidia,nadhani kila mtu abakie na uamuzi wake yeye binafsi
---Ni ajabu wewe kudhani kuingia kwenye siasa ni kufuata fedha...Kama idea yako kuingia kwenye siasa ni kujijengea pesa nadhani una very dangerous thinking....Kama unataka fedha kwanini usifanye biashara upate fedha nyingi na kwa wingi na kwa halali?....Mtu kuhitaji fedha ni uamuzi wake,huenda yeye hataki kama unavyotaka wewe!
---Yeye mwenyewe ndio anajua anachotaka kwenye siasa...Nadhani ni vizuri ukamuuliza akakupa jibu kwa mdomo wake,nachoona hapa umejigeuza "mtabiri" of which wewe sio prophet!
Mkuu yaani sijui nina illusion ama delusion nawe?!!Mungu mbariki Hilda Newton
As if wewe upo sawa kisaikolojia [emoji23][emoji23]Huyu Dada hayupo sawa kisaikolojia...
Namjua inn out tangu 2016, najua hadi Temeke anapokaa hahaaaa. Mwepesi sana sana yan sanaaaaDada yangu Hilder, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.
Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea na hapa ndipo pananifanya nikuunge mkono kwani hata mimi nachukizwa sana na mambo kama uonevu, unyanyasaji, mauaji, utesaji, double standards,usaliti na mengineyo ya aina hiyo ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu ya maisha yetu katika Taifa hili.
Hata hivyo, kwakuwa unafahamika kwa maana ya kutotumia ID fake huko Twitter, nakushauri uwe makini katika nyendo zako kwani unagusa watu fulani ambao, kwa hulka zao, wanaweza wasiwe wavumilivi hivyo kuwa makini sana.
Endeleza mapambano ila kuwa macho na watu wasiojulikana.
Kivipi ?!!!Huyu Dada hayupo sawa kisaikolojia...
Haaa haaa na kweli tu, kanajifanya kamanda kweli. Huku wenzake wanapiga mtonyoHuyo Hilda ni demu fulani mshamba mshamba hata sura bado anaonekana wa kienyeji. Hakuna wa kuangaika nae japo anapambana kupata attention.
Hajui hata anatafuta nini kwenye siasa wenzake wajanja wanamtumia kufanikiwa kisiasa na kuingiza pesa, ataishia hivyo hivyo kupiga kelele twitter na sura yake nzito.
Hizi simu zinazoandika maneno kadri unavyo-type zinaleta changamoto hizi za kiuandishi ingawa pia zinarahisha uandishi.Mkuu, hebu pitia na kuhariri andiko lako ili ueleweke vyema. Hilda hata humu yumo. Ndiye yule aliyeagizwa na RC Hapi akaripoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu yake? Hivi alikwenda? Ha ha ha ha
Huyu ndio mmoja wa asiyejulikana, cheki anamponda kumbe anamfollowHuyo Hilda ni demu fulani mshamba mshamba hata sura bado anaonekana wa kienyeji. Hakuna wa kuangaika nae japo anapambana kupata attention.
Hajui hata anatafuta nini kwenye siasa wenzake wajanja wanamtumia kufanikiwa kisiasa na kuingiza pesa, ataishia hivyo hivyo kupiga kelele twitter na sura yake nzito.