Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

Sasa wewe unasema yuko Tweeter lakini wewe unampa ushauri huku JF!! Hivi wewe una akili timamu kweli??
We shida yako nini? Au wewe ni miongoni mwa wanaoitwa watu wasiojulikana?
 
We shida yako nini?Au wewe ni miongoni mwa wanaoitwa watu wasiojulikana?
Kwani wewe ID yako siyo Fake?

Huyo mwanasaccos mwenzio si umesema yuko Tweeter? Sasa ukimwandikia huku ataelewaje wakati yuko Tweeter kwanini usimwandikie huko huko tweeter??!
 
Katoto kamoja kafupi, kana rangi ya chocolate halafu kamejaza zile 'lahma' zenye ladha!

Halima Mdee asingewahi 'kubutua kombolela' kutetea wanyonge kina Nusrat basi nahakika 'Kamati kuu' ingemteua kuwa Mbunge wa viti Maalum
Weka picha yake chifu.
 
Mleta mada labda mnajipanga kumtumia
 
Dada yangu Hilder, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.

Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea na hapa ndipo pananifanya nikuunge mkono kwani hata mimi nachukizwa sana na mambo kama uonevu, unyanyasaji, mauaji, utesaji, doublestand, usaliti na mengineyo ya aina hiyo ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu ya maisha yetu katika Taifa hili.

Hata hivyo, kwakuwa unafahamika kwa maana ya kutotumia ID fake huko Twitter, nakushauri uwe makini katika nyendo zako kwani unagusa watu fulani ambao wanaweza wasiwe wavumilivi.

Endeleza mapambano ila kuwa macho na watu wasiojulikana.
Hilda hayupo Tz... kwa taarifa yako. Hizo ndo faida za uanaharakati wa kujitambulisha hadharani kuliko akina "Salary Slip" au "Erythrocyte" mnaojificha kwenye fake name 😊
 
Unataka watu wote wawe nyuma ya keyboard? Anahamasisha watu wajitokeze waseme ukweli pasipo kujificha anawazidi wanaume wa humu so anawafundisha ujasiri
Waonye hao wasojulikana wamuache Hilda huyo dada anatakiwa apewe heshima anajitajihidi sana kusema ukweli bila kuhofia maisha yake kuwa hatarini ,tutaishi mpaka lini kwa uoga
 
Dada yangu Hilder, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.

Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea na hapa ndipo pananifanya nikuunge mkono kwani hata mimi nachukizwa sana na mambo kama uonevu, unyanyasaji, mauaji, utesaji, double standards,usaliti na mengineyo ya aina hiyo ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu ya maisha yetu katika Taifa hili.

Hata hivyo, kwakuwa unafahamika kwa maana ya kutotumia ID fake huko Twitter, nakushauri uwe makini katika nyendo zako kwani unagusa watu fulani ambao, kwa hulka zao, wanaweza wasiwe wavumilivi hivyo kuwa makini sana.

Endeleza mapambano ila kuwa macho na watu wasiojulikana.
Acheni uhuni wa kupaishana, nani amtafute huyu?
 
Yote uliyoongea sio sahihi,and here is why:

---Umeshindwa ku-attack hoja,umeishia kuongelea uzuri wa sura as if yeye ndio alichagua kujiumba vile?As if na wewe upo kwenye upper hand maana ulichagua sura nzuri somwhere?Umegeukia biology ambayo mwanadamu hana maamuzi nayo including wewe binafsi unajitia kujipa mamlaka ya kukosoa biology za watu

---Akiamua kuwasaidia wenzake wafanikiwe kwenye siasa nadhani ni uamuzi wake,sidhani kama wewe upo kwenye position ya ku-critisize uamuzi binafsi wa mtu..Kama wewe hutaki kusaidia mtu,basi ni wewe,yeye kaamua kusaidia,nadhani kila mtu abakie na uamuzi wake yeye binafsi

---Ni ajabu wewe kudhani kuingia kwenye siasa ni kufuata fedha...Kama idea yako kuingia kwenye siasa ni kujijengea pesa nadhani una very dangerous thinking....Kama unataka fedha kwanini usifanye biashara upate fedha nyingi na kwa wingi na kwa halali?....Mtu kuhitaji fedha ni uamuzi wake,huenda yeye hataki kama unavyotaka wewe!

---Yeye mwenyewe ndio anajua anachotaka kwenye siasa...Nadhani ni vizuri ukamuuliza akakupa jibu kwa mdomo wake,nachoona hapa umejigeuza "mtabiri" of which wewe sio prophet!
UMEONGEA JAMBO LA busara na la hekima... Hii jamii forum kumejaa watu walio na uwezo mdogo wa ku reason mambo kwa kweli.na wamejaa chuki sana badala ya kujibu hoja wanafanya kitu kinaitwa body shaming kwa watu wengine kana kwamba wao ni wazuri sana .
 
Mungu mbariki Hilda Newton
Mkuu yaani sijui nina illusion ama delusion nawe?!!

Huwa siku zote ninahisi na kudhani wewe ndiye comrade Hilda Newton...

Sema nini...ninahisi kule TWITTER na kwingineko UKO VOCAL SANA...na huku uko DIPLOMATIC SANA....🤣🤣

Niwie RADHI sana kwa kusema haya comrade dada yangu RBC's!!
 
Dada yangu Hilder, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.

Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea na hapa ndipo pananifanya nikuunge mkono kwani hata mimi nachukizwa sana na mambo kama uonevu, unyanyasaji, mauaji, utesaji, double standards,usaliti na mengineyo ya aina hiyo ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu ya maisha yetu katika Taifa hili.

Hata hivyo, kwakuwa unafahamika kwa maana ya kutotumia ID fake huko Twitter, nakushauri uwe makini katika nyendo zako kwani unagusa watu fulani ambao, kwa hulka zao, wanaweza wasiwe wavumilivi hivyo kuwa makini sana.

Endeleza mapambano ila kuwa macho na watu wasiojulikana.
Namjua inn out tangu 2016, najua hadi Temeke anapokaa hahaaaa. Mwepesi sana sana yan sanaaaa
 
Huyu Dada hayupo sawa kisaikolojia...
Kivipi ?!!!

Unajua duniani kote VIBRANT politicians wanaonekana WANAONEKANA HAWAKO SAWA....

Kuna PSYCHIATRIST mmoja alikuwa anatuchambulia kuanzia GEORGE WASHINGTON ABRAHAM LINCOLN mpaka kina Jeremy Corbyn na George Galloway.....

Akina Martin Luther King Jr....
Akina Malcolm X....
Akina Fannie Lou Hammer....
Akina Rosa Parks......
Akina Ralph Abernathy na WENGINEO....WALIONEKANA NA WANAONEKANA KAMA WATU FULANI "abnormal hivi".
 
Yaaahh Dada anafunguka Sanaa aiseee.....lakini sio yeye ...wengi tu kule twitter ni wanafahamika and yet wanaishambulia serikali day and night...
 
Huyo Hilda ni demu fulani mshamba mshamba hata sura bado anaonekana wa kienyeji. Hakuna wa kuangaika nae japo anapambana kupata attention.

Hajui hata anatafuta nini kwenye siasa wenzake wajanja wanamtumia kufanikiwa kisiasa na kuingiza pesa, ataishia hivyo hivyo kupiga kelele twitter na sura yake nzito.
Haaa haaa na kweli tu, kanajifanya kamanda kweli. Huku wenzake wanapiga mtonyo
 
Mkuu, hebu pitia na kuhariri andiko lako ili ueleweke vyema. Hilda hata humu yumo. Ndiye yule aliyeagizwa na RC Hapi akaripoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu yake? Hivi alikwenda? Ha ha ha ha
Hizi simu zinazoandika maneno kadri unavyo-type zinaleta changamoto hizi za kiuandishi ingawa pia zinarahisha uandishi.
 
Huyo Hilda ni demu fulani mshamba mshamba hata sura bado anaonekana wa kienyeji. Hakuna wa kuangaika nae japo anapambana kupata attention.

Hajui hata anatafuta nini kwenye siasa wenzake wajanja wanamtumia kufanikiwa kisiasa na kuingiza pesa, ataishia hivyo hivyo kupiga kelele twitter na sura yake nzito.
Huyu ndio mmoja wa asiyejulikana, cheki anamponda kumbe anamfollow
 
Back
Top Bottom