Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana


Ukikua utajua huyu dada ni nani na anatafuta nini!...hivi unajua alikotokea na siasa alianzia wapi na lini? Na je ni nani aliyemuibua...!??
Unachokiona siyo kilivyo, hivi unamfahamu vyema kijana mmoja anayeitwa Malisa??
Nadhani hata Pole pole hujawahi mdhania kabla kuwa angekuwa kama alivyo hivi sasa!
 
Damu za uanaharakati huwa sio za mchezo, hawanaga cha kupoteza, kufa au kuishi kwao ni sawa.
Hata hivyo kila binadamu anayeishi haijalishi ni nani tangu anatoka tumboni mwa mama yake Mungu alishampangia aina ya kifo atakachokufa,
So yale maneno utasikia kwamba bila kile au hiki bwana yule au mtu yule asingekufa hua ni mapambio tu kutokana na siri kubwa Mungu ameificha kwa mwanadamu.
So ujumbe huu ukamfikie kila mmoja ajionaye ana nguvu sana juu ya dunia hii, kubadilika ni muhim japo sio lazima
 
Huyu dada huwa namkubali sana, ana misimamo na hatumbishwi ila jamani hata akina Mdee na covid 19 nao walikua kama hilda, i don't know what went wrong walah[emoji22][emoji22][emoji22]
Watu waligundua ukiwa mbishi na mwenye marusi ndio unaonekana kamanda.

Inasikitisha Sana kuona mtu anamsifia huyu dada. Kwanza huwa hana hoja.

Anyway ndivyo CDM walivyo
 
Mapambano gani nyie wajinga. Kinachowasumbua ni kutafuta viti maaluum au nafasi za uongozi CHADEMA. Mnatafuta kuganga njaa kwenye siasa. Mnakuwa na chuki na frustrations siku zote. Sisi tuko na JPM na hapa kazi tu.
 
Nampenda sana huyu dada, natamani nionane nae alau siku moja
 
Bahati nzuri nayajua Maisha yake huko Kwao Wilayani Temeke, Elimu yake ya Kuungaunga ya Chuo Kimoja pale Ilala Shariff Shamba na sina uhakika kama aliyamaliza pamoja na harakati zake za kutafuta Pesa za Kuishi hapa Mjini (ambalo kwa hili namstahi) huku nikimlinda zaidi Kimaadili. Umemuonya vyema kabisa kwani anachokifanya ni Kuwaringishia Mwili wake Simba wenye Njaa Kali Mbugani huku akijijua hana Mbio.
 
Wasiojulikana utawajua tu kwa komenti zao .
 
Huyu dada huwa namkubali sana, ana misimamo na hatumbishwi ila jamani hata akina Mdee na covid 19 nao walikua kama hilda, i don't know what went wrong walah[emoji22][emoji22][emoji22]
Threats , Ni wanawake wamepigwa vitisho vya nguvu sana , Jiwe akose tilioni mbili ?
 
Haya watu wasiojulikana mambo hayo, utawala unayaficha,
 
Mwalimu akaniambia Heshima na Tamaa hazikai nyumba moja ,mimi nikachagua heshima ndio maana unaniona nipo hapa - Makamba Snr.
 
Hivi hayo mauaji huwa yanafanyika wapi mbona watu wote naona wapo au ni mauaji ya viumbe gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…