Hili jambo linanigharimu sana

Hili jambo linanigharimu sana

Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Huyu manzi bettri zimekata moto kbsa

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Ndio muache tutoe maoni, uone mishangazi ya shem itakavyotutupia mawe siku hiyo 😂😂😂😂
Maana da Joana alisema shem alikuwaga na mishangazi humu 😂😂😂
Na ashasema anapenda kudekezwa sijui itakuwaje....itabidi da maua anifunde hata kwa mkopo maana mimi kwenye kudekeza nimepata F
 
😂😂😂😂 Kazi unayo bff
Itabidi ufundwe usije kutuaibisha
 
Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Kuna watu wameolewa na bikra zao na ni singo mama saa hii .usifanye mchezo na sis wanaume dada .hatunaga formula
 
Kupata mtu sahihi na kufanikiwa katika biashara havina tofauti sana.
Unaweza fata principles zote za biashara kwa adabu zote na bado biashara ikafa.,

Hivyo hivyo kwenye mahusiano unaweza kujitunza sana ukakutana na mja asie deserve kujichunga kwako, na yule mtembezaji akapata bwana wa maana, tutambue ya kwamba maisha hayana formula, hizo mambo zinginie ni masingizio tu.

Kama jitu ni la hovyo haibadilishi kitu akiwa kwa A au kwa B, tofauti ni uvumilivu tu kati ya hao wawili.
 
kweli kwa huu muandiko wake

mwanzo nilijua anaigiza ila nyuzi zake zote zipo hivi

she has a screw loose for sure
Labda na mimi nina bipolar maana mimi naona nyuzi zake za kawaida tu, nadhani humu ndani kuna watu maalum wanajifanya wana akili sana na kuwafanya wengine wajinga, kuna yule kid kidukulile alikuwa anajimwambafai humu basi akipost kitu chochote walikuwa wanamuambia dishi limeyumba, kuna masuala ya unyanyasaji wa mitandaoni huu ni mmoja wapo, tuacheni mambo ya kijinga inawezekana kuna wana wawili watatu waliwahi kujisevia kwa da mauwa kwa hiyo wanajikuta wajanja wakati ni mambo ya kawaida tu, ache acheni ushamba uliopitiliza, tena kuna mademu utakuta wanaunga mkono mambo kama haya ujinga mtupu, kabla hujamuona mwenzako dishi limeyumba, una uhakika na wewe hatukuoni hivyo hivyo sema tu tumeamua kukustiri?
 
Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Mmmh, unakumbuka shuka tayari kumekucha!
 
Back
Top Bottom