Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Tuambie Jiwe amechukua hatua gani kunusuru sekta binafsi........October loading......Tuombe corona ipite viumbe wasio na hatia wataangamia
Tuambie Jiwe amechukua hatua gani kunusuru sekta binafsi........October loading......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wanawalipa walimu wa shule binafsi sasa sijui ni wajinga au sisi ndio wajinga
Barida tutaongea lugha moja tuKupanga ni kuchagua.
Kwani wenyewe hawalipi kodi?Hii sekta binafsi ambayo school fees zake ni za kufa mtu wanapelekaga wapi pesa zao? Walioajiriwa huko sio wapumbavu/wajinga kwani hawafahamu sheria hadi waje kulialia JF? Covid-19 ikipita wataajiriwa tena na mishahara minono wasitegemee Pesa za walipa kodi kuwanusuru. Kama mwajiri ana makosa sheria zipo wazi.
Barida tutangea lugha moja tu
Ninyi imalizeni tu hii nchiSiongeaji lugha moja na vikuwadi vya Mabeberu.
Ninyi imalizeni tu hii nchi
Tuombe corona ipite viumbe wasio na hatia wataangamia
Kwa hiyo na huyu alikuwa kuwadi wa Mabeberu ati?.Nchi haimalizwi, utakufa wewe na vikuwadi vyako na kuiacha Tanzania ipo pale pale, cha msingi ni kwamba hiyo elimu uliipata kuja kutukana Watanzania wenzako na kusujudia kila majuha weupe kama Kenya au unajitambua? Subiri wakianza kukutungua kama ngedere.
Hiyo ada hailipwi on daily basis ni kwa term yaani twice or quadruple kwa mwaka.
Waache kisingizio maana gharama za uendeshaji hazipo kama usafiri,chakula,umeme,stationary.
Jafo au Ndalichako watoe tamko.
Kuchelewa kufanya maamuzi Hilo nalo Ni tatizo...
Waziri wa fedha kimya... Hatujui fedha za serikali zimepangwa sh. Ngapi na kwa matumizi yapi...
Waziri wa kazi naye kimya... Watu wanapoteza ajira na haki zao.
Waziri wa afya Ni kutoa takwimu pasipo mipango na mkakati...
Rais anasema tuchape kazi huku tukiomba na kujivukisha...
Maamuzi ya haraka sahihi na magumu ndio yanatakiwa...