Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

Nimekuwekea mpaka video sasa unataka facts gani?

Mkuu unaweza kutengeneza video kama ukipenda na kuwalisha watu matango? Weka ushahidi hapa huyo aliyekufa alikuwa nani na kwa nini amekumbwa na hilo tukio? Usiwe unapenda kurahisisha mambo kama unavyotaka, nenda mbali na fanya uchunguzi wa kina then lete taarifa. Hayo uliyoweka ni majungu kwa sababu hujaleta fact yoyote. Mtu anaweza kufa kwa tatizo lolote na wakati huu watu wana wasiwasi wa ka-corona.
 
Hii sekta binafsi ambayo school fees zake ni za kufa mtu wanapelekaga wapi pesa zao? Walioajiriwa huko sio wapumbavu/wajinga kwani hawafahamu sheria hadi waje kulialia JF? Covid-19 ikipita wataajiriwa tena na mishahara minono wasitegemee Pesa za walipa kodi kuwanusuru. Kama mwajiri ana makosa sheria zipo wazi.
Umeongea kwa ushabiki sana bila kujali jambo unaloliongelea ni mtambuka na linaumiza wengi sana. Usisahau hapo serikali itakosa kodi pia na inawezekana baadhi ya hizo biashara zisiinuke tena Post-Covid. Haya mambo yanahitaji tafakuri na empathy. Sio kila kitu ni ushabiki!
 
Mkuu unaweza kutengeneza video kama ukipenda na kuwalisha watu matango? Weka ushahidi hapa huyo aliyekufa alikuwa nani na kwa nini amekumbwa na hilo tukio? Usiwe unapenda kurahisisha mambo kama unavyotaka, nenda mbali na fanya uchunguzi wa kina then lete taarifa.
Sasa kila mtu wa corona niwe nakuletea facts sijui na nini na nini nenda kwa Ummy mwalimu uone kama hujafungwa
 
Kipindi hichi cha corona serkali ndio imefunga mashule sasa Kenya imeamua kulipa mishara ya walimu wa shule binafsi

Mkuu si-uhamie Kenya tu kama unapenda sera zao, kwani umezuiwa?
 
Sasa kila mtu wa corona niwe nakuletea facts sijui na nini na nini nenda kwa Ummy mwalimu uone kama hujafungwa

Hizo ni propaganda tu, sasa nikuulize huyo ndugu ambaye mwenyezi mungu atamrehemu kwa nini umeweka video yake huku? Ni kwa sababu unatafuta cheap politics ndio sababu nimesema huna ushahidi bali ni kueneza majungu tu.
 
Tatizo la Watu wa nchi hii ni Ubinafsi.

Kundi fulani linapokuwa linadhibitiwa, likapiga kelele wengine huwa wanajifanya wako busy na kazi na haliwahusu.

Leo yamewakuta na wao wanalialia.

1. Vyeti feki ( UPE ) wamekatiliwa sana, wamefutwa kazi na mafao hakuna .

2. Graduates tangu 2015 hawana ajira.

3. Fao la kujitoa limezimwa, kimya.

Mtu akilalamika mnamwona mzembe, hapambani.

Sasa Leo Na Ninyi Yamewakuta, Mnaacha Mpige Mpige Kelele - Then No Response, Mnazoea Maisha.

Ushauri ni lazime tujenge utamaduni wa kushikamana wakati wa matatizo hata kama unaona tatizo halijakugusa directly.
 
Umeongea kwa ushabiki sana bila kujali jambo unaloliongelea ni mtambuka na linaumiza wengi sana. Usisahau hapo serikali itakosa kodi pia na inawezekana baadhi ya hizo biashara zisiinuke tena Post-Covid. Haya mambo yanahitaji tafakuri na empathy. Sio kila kitu ni ushabiki!

Huo ndio ukweli, lakini kama kawaida Watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Je, ni asilimia ngapi ya Watanzania wanaoenda shule za private? Kodi inalipwa na kila mwananchi na kwa taarifa yako huko ndiko kuna ukwepaji wa kodi ukichunguza kwa makini. Covid-19 kweli italeta na kusababisha uchumi kupungua sio Tanzania pekee ni ulimwenguni kote so what is so special tuwe na empathy kwa walimu wa shule za private? Hakuna ushabiki hapo kila mtu atabeba msalaba wake. Hizi ni private school walitakiwa kuwa na insurance etc. Hata mwezi haujaisha tayari wameishiwa hata pesa za mishahara, kwani mishahara inalipwa kutokana na malipo ya kila mwezi? Je, ipo katika budget au ndio wachache wanafaidi peke yao? Je, hizo shule za private wamejipanga vipi kabla ya kuanza kulialia?
 
Kwakweli nikipata fursa nahamia huko

Kenya tu hapo unasema ukipata nafasi? Wenzako wapo mbali na walijiwezesha kwa mbinu kali, usifikiri kuhama nchi ndio kutaondoa matatizo yako binafsi ya kuwa kasuku wa vibeberu!
 
Kenya tu hapo unasema ukipata nafasi? Wenzako tupo mbali na tulijiwezesha kwa mbinu kali, usifikiri kuhama nchi ndio kutaondoa matatizo yako binafsi ya kuwa kasuku wa vibeberu!
Sasa wewe kwanini ulikimbia?ninyi ndio watoto wa mabalozi munaotetea mfumo ambao umewanufaisha
 
Sasa wewe kwanini ulikimbia?ninyi ndio watoto wa mabalozi munaotetea mfumo ambao umewanufaisha

Kwa hiyo kila mtoto wa Balozi ndio yupo nje? Hoja zimekushinda sasa umebaki kupkoteza okoteza tu. Wacha ukuwadi kwa mabeberu. Ngozi yako nyeusi ni mali kuliko hao toilet papers. Basi Tanzania ndio nchi ambayo ina mabalozi wengi. Weka hoja wacha kuleta viroja.
 
Duh. Hili ni baya kuliko. Hapo akiambiwa tena kuna lockdown anahisi dunia inakuandama.

Nashauri kwa kuwa shule binafsi ni taasisi au kampuni, zingeomba mikopo kwenye mabenki na kisha kuwakopesha wafanyakazi wake hata mshahara wa miezi mitatu (3).

Baada ya kupita kwa janga hili wangekuwa wanawakata kwenye mishahara yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu....umefanya jema sana..umejaribu japo kutoa solution/option.. safi sana
 
Kwa hiyo kila mtoto wa Balozi ndio yupo nje? Hoja zimekushinda sasa umebaki kupkoteza okoteza tu. Wacha ukuwadi kwa mabeberu. Ngozi yako nyeusi ni mali kuliko hao toilet papers. Basi Tanzania ndio nchi ambayo ina mabalozi wengi. Weka hoja wacha kuleta viroja.
Umejisahau kwenye posti yako nami nimebana nikijua ukweli ni mchungu angalia ulivyohamaki hahaaa ninyi ndio kula kulala wa system ndio watetezi wa mfumo uliochokwa na mamilioni ya Watanzania
 
Back
Top Bottom