Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

Serikali ya Kenya inalipa walimu wa shule binafsi.Hii ni Kenya.

Tanzania hata kuwaombea mkopo wa miezi mitatu tu,kwa makubaluano maalum ya kurejesha pesa hizo hali ikirejea,wameshindwa.

Ukweli kwa watu waliopo hata kuwategemea wafikiri hivyo tu,ni kupoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi shule unayolipa ada ya milion 2 kwa mwaka uje useme huna hela ya mshahara kisa shule imefungwa hat miezi 3 haijapita?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejisahau kwenye posti yako nami nimebana nikijua ukweli ni mchungu angalia ulivyohamaki hahaaa ninyi ndio kula kulala wa system ndio watetezi wa mfumo uliochokwa na mamilioni ya Watanzania

Mkuu umejiunga na huu mtandao miaka 6 tangu ulipoanzishwa, wakati unaanzishwa tulikuwepo sasa hamaki yangu itoke wapi? Wewe ndio ujitafakari kwa sababu matatizo yako binafsi usiyafanye ya kitaifa na kueneza majungu. Umeshindwa maisha Tanzania kwa uzembe wako mwenyewe na unataka kuhamia Kenya- Rukhsa tena hata uondoke leo maana tabia ya ukuwadi ni mbaya, upo hapo unategemea kupata peremende kutoka kwa Mabeberu. Hata ungeomba tu kwa heshima ningekuajiri kwenye kampuni yangu. Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kuliko kukimbilia kwa Manyang'au? Usione vinaelea vimeumbwa. Tanzania ipo vizuri sana mark my words!
 
Umeshindwa maisha Tanzania kwa uzembe wako mwenyewe na unataka kuhamia Kenya- Rukhsa
Kama watu niliowachagua ni wazembe unatarajia nifanye nini ninyamaze nitaendelea kuongea ili niwakomboe Watanzania wenzangu kutoka kwenye makucha ya hawa
 
Kuna siku wafanyakazi wa viwanda kama TBL, pepsi na Coca-Cola wataiomba serikali iwalipe mishahara!
Shule za private ni kama viwanda au mashirika ya watu binafsi, kiuhalisia ilitakiwa Watanzania wote tusome public schools.
Serikali ndo inayotakiwa kutoa elimu kwa watu wake na si vinginevyo

Hivyo nakuunga mkono
Huo ndio ukweli, lakini kama kawaida Watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Je, ni asilimia ngapi ya Watanzania wanaoenda shule za private? Kodi inalipwa na kila mwananchi na kwa taarifa yako huko ndiko kuna ukwepaji wa kodi ukichunguza kwa makini. Covid-19 kweli italeta na kusababisha uchumi kupungua sio Tanzania pekee ni ulimwenguni kote so what is so special tuwe na empathy kwa walimu wa shule za private? Hakuna ushabiki hapo kila mtu atabeba msalaba wake. Hizi ni private school walitakiwa kuwa na insurance etc. Hata mwezi haujaisha tayari wameishiwa hata pesa za mishahara, kwani mishahara inalipwa kutokana na malipo ya kila mwezi? Je, ipo katika budget au ndio wachache wanafaidi peke yao? Je, hizo shule za private wamejipanga vipi kabla ya kuanza kulialia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama watu niliowachagua ni wazembe unatarajia nifanye nini ninyamaze nitaendelea kuongea ili niwakomboe Watanzania wenzangu kutoka kwenye makucha ya hawa

Huna wa kumkomboa Mtanzania yoyote yule wewe ni puppet tu.
 
Huna wa kumkomboa Mtanzania yoyote yule wewe ni puppet tu.
Wewe ni mnufaika wa hii system iliyooza ndio maana unakomaa mpaka mishipa ya shingo

Kumbuka muda unazidi kuyoyoma ccm imechokwa sana sana na Watanzania ni muda tu inaanguka sasa nyinyi tutakula nanyi sahani moja murudishe mali za umma
 
View attachment 1432554itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.

View attachment 1432558View attachment 1432562
kwani shule ziki funguliwa juni au july wanafunzi hawatalipa ada ya mwaka husika?
Kwamba shule zikifunguliwa mwalimu atafundisha sylubus na kuruka kilichotakiwa kufundishwa kipindi cha miezi hii ambayo achukui mshahara?
Izi shule zinawanyonya walimu na zinavunja haki ya msingi ya walimu
 
Kama wazazi hawajalipa fees atawalipa kwa kuuza nini? Unadhani gharama za kuendesha shule ni za kitoto? Kwanini wewe usianzishe ili ukusanye hayo mamilioni?
FYI; Jiwe mwenyewe hana akiba analazimisha watu wachape kazi ili apate kodi alipe mishahara.
Hii sekta binafsi ambayo school fees zake ni za kufa mtu wanapelekaga wapi pesa zao? Walioajiriwa huko sio wapumbavu/wajinga kwani hawafahamu sheria hadi waje kulialia JF? Covid-19 ikipita wataajiriwa tena na mishahara minono wasitegemee Pesa za walipa kodi kuwanusuru. Kama mwajiri ana makosa sheria zipo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulipaswa kuwa na stimulus package lakini ndio hivyo tena hata akiba ya chakula ni shida.
Haina shida watatukuta kitaa, kampani inazidi kuongezeka.
 
Corona ni “game changer” ya ukweli haswa.

Hakuna cha tajiri au maskini wala mfanya biashara au muajiriwa.

Kila mtu atalia mlio wake mwenyewe.

Atakaye cheka hatimaye ni yule tu atakaeweza kujiasili sawasawa na mabadiliko.
 
Tatizo la waajiriwa wangi hatusomi mikataba yetu japo kuwa imeandikwa kwa lugha nyepesi kabisa. Mfano kwenye mkataba unakuta umeandikwa uvunjaji wa mkataba kwa mwajiri anaweza akavunja mkataba kwa kupa taarifa ndani ya masaa 24 lakini utapewa malipo ya mishahara mitatu ya mbele. Lakini mtu utakukuta amepewa hayo yote lakini anapiga kelele mtaani. Pia kwa upande wa hili la sasa sijui wataalamu wa sheria wanasemaje lakini kuna haja ya sisi tunaojiita wasomi huko vyuoni kuwe na course ya sheria kuhusiana na mikataba ya kazi
 
View attachment 1432554itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.

View attachment 1432558View attachment 1432562
Hata Association of Tanzania Employers inapswa kuomba muongozo kwa serikali.

Vyama vya wafanyakazi huu ndiyo wakati nao wa kufanyia kazi hili.

Serikali imeshatoa msimamo wazi kuwa hakuna lockdown na kwamba waajiri wasitumie mwanya wa corona kupunguza wafanyakazi sasa tutashindwaje kupunguza wafanyakazi wakati hatuzalishi ?

Kimsingi hii serikali imepwaya sana kwenye hili janga la corona tuombe Mungu liishe haraka lakini kutegemea serikali ya awamu ya tano ni kupoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh. Hili ni baya kuliko. Hapo akiambiwa tena kuna lockdown anahisi dunia inakuandama.

Nashauri kwa kuwa shule binafsi ni taasisi au kampuni, zingeomba mikopo kwenye mabenki na kisha kuwakopesha wafanyakazi wake hata mshahara wa miezi mitatu (3).

Baada ya kupita kwa janga hili wangekuwa wanawakata kwenye mishahara yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaomba mkopo wakati hauzalishi chochote na haujui hili janga litaisha lini ?

Nani anaweza kutake risk kubwa kiasi hicho wakati kuna cheap option ya kupunguza wafanyakazi na sheria inakubeba ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Kenya inalipa walimu wa shule binafsi.Hii ni Kenya.

Tanzania hata kuwaombea mkopo wa miezi mitatu tu,kwa makubaluano maalum ya kurejesha pesa hizo hali ikirejea,wameshindwa.

Ukweli kwa watu waliopo hata kuwategemea wafikiri hivyo tu,ni kupoteza muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali imepwaya sana kwenye hili janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kwa ushabiki sana bila kujali jambo unaloliongelea ni mtambuka na linaumiza wengi sana. Usisahau hapo serikali itakosa kodi pia na inawezekana baadhi ya hizo biashara zisiinuke tena Post-Covid. Haya mambo yanahitaji tafakuri na empathy. Sio kila kitu ni ushabiki!
Kalipwa kwa kazi hiyo hivyo ni lazima ajitwishe kila mzigo wa mavi na kuurusha humu.

Hili taifa limepotea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msilalamike wakati mikataba yote ya kazi mmeisign wenyewe mkiwa race kama vichaa mnashangilia mmepata kazi.
Kuna kipengele cha force majure kwamba ikitokea either pandemic eartquake flood hurricane au the like employer atachukua hatua gani sasa ma employer wengi hujiondoa liability na kusema watafanya chochote watakachoona ni sawa kwa kampuni ikiwemo leave with no pays.
Sasa unakuja unasign mwenyewe huo mkataba na njaa zako unataka serikali akusaidie nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh..

Pole sana. Labda Mungu atende miujiza. Lakini tambueni tu Jiwe hana muda nanyi.
 
Back
Top Bottom