jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Utasajiliwa na corona fanya mazoezi ya nguvu.Huwa siongei lugha moja na vikuwadi vya Mabeberu.
Ukishapewa mkataba utuonyeshe!
Utasajiliwa na corona fanya mazoezi ya nguvu.Huwa siongei lugha moja na vikuwadi vya Mabeberu.
Nchi haimalizwi, utakufa wewe na vikuwadi vyako na kuiacha Tanzania ipo pale pale, cha msingi ni kwamba hiyo elimu uliipata kuja kutukana Watanzania wenzako na kusujudia kila majuha weupe kama Kenya au unajitambua? Subiri wakianza kukutungua kama ngedere.
Juwata ilishabakwa na serikali kitambo!Mkuu ni uhuni tu unafanyika, budget za mishahara zinaeleweka hata kabla shule hazijaanza. Hawa wana mbinu za kula pesa za walipa kodi. Hata mwezi haujaisha, shule hizi zichunguzwe vizuri wasilete mzaha. Lakini walimu wenyewe wanashindwa nini kufuata sheria si wana mikataba? Hiyo mikataba yao inasema nini? Je hizi shule waliweka insurance au ndio wanaziendesha kiswahii kiswahili?
Hili neno barida mateja wengi sn wanalitumia mitaani.Barida tutaongea lugha moja tu
Raisi Magufuli na Baraza lake la Mawaziri wajiuzulu nchi iko katika hali mbaya
Nimegonga glasi kidogo mambo mengi muda mchacheHili neno barida mateja wengi sn wanalitumia mitaani.
Angalia unavyojichora nimekwambia wewe kwa sababu hoja inakushinda unatafuta njia ya kutokea. Kaa kwenye mada ukuwadi wako unajulikana, tupo macho! Weka facts, Wacha Majungu.Kwa hiyo na huyu alikuwa kuwadi wa Mabeberu ati?.
View attachment 1432578
"Hii ndio Lumumba jamani makuwadi wa mabeberu wanaanguka"....alisikika mwananchi mmoja wa kariakoo
km wanatumia BIMA ama mifuko ya jamii ?Kenya wanawalipa walimu wa shule binafsi sasa sijui ni wajinga au sisi ndio wajinga
Kenya uchumi wao umeshuka na raia walilia chakula ...njaa inawaua. Kwa sauti ya Bia Yetu.Kenya wanawalipa walimu wa shule binafsi sasa sijui ni wajinga au sisi ndio wajinga
Nimekuwekea mpaka video sasa unataka facts gani?Angalia unavyojichora nimekwambia wewe kwa sababu hoja inakushinda unatafuta njia ya kutokea. Kaa kwenye mada ukuwadi wako unajulikana, tupo macho! Weka facts, Wacha Majungu.
Juwata ilishabakwa na serikali kitambo!
Chama cha waalim ndio mic ya ccm unategemea nini hapo?
Yule jamaa kwa pumba! hawezekaniKenya uchumi wao umeshuka na raia walilia chakula ...njaa inawaua. Kwa sauti ya Bia Yetu.
Kipindi hichi cha corona serkali ndio imefunga mashule sasa Kenya imeamua kulipa mishara ya walimu wa shule binafsiUnamaanisha serikali inawalipa walimu wa shule private au sijakuelewa