Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,375
Msilalamike wakati mikataba yote ya kazi mmeisign wenyewe mkiwa race kama vichaa mnashangilia mmepata kazi.
Kuna kipengele cha force majure kwamba ikitokea either pandemic eartquake flood hurricane au the like employer atachukua hatua gani sasa ma employer wengi hujiondoa liability na kusema watafanya chochote watakachoona ni sawa kwa kampuni ikiwemo leave with no pays.
Sasa unakuja unasign mwenyewe huo mkataba na njaa zako unataka serikali akusaidie nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kalipwa. Ni lile tatizo la Watanzania kuwa wataalam wa kila kitu. Mtu amesoma HGL na hajawahi kumiliki hata genge la nyanya ila anaongea/anaandika utafikiri anamiliki Amazon na kapiga mpaka PhD ya Business administrationKalipwa kwa kazi hiyo hivyo ni lazima ajitwishe kila mzigo wa mavi na kuurusha humu.
Hili taifa limepotea sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa mwajiriwa ambaye una uhakika na mshahara. Ndio maana unaandika tu, kwa sababu una bundle. Subiri siku uwe na biashara hata ndogo ndio uje uandike ulichoandika hapa.Huo ndio ukweli, lakini kama kawaida Watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Je, ni asilimia ngapi ya Watanzania wanaoenda shule za private? Kodi inalipwa na kila mwananchi na kwa taarifa yako huko ndiko kuna ukwepaji wa kodi ukichunguza kwa makini. Covid-19 kweli italeta na kusababisha uchumi kupungua sio Tanzania pekee ni ulimwenguni kote so what is so special tuwe na empathy kwa walimu wa shule za private? Hakuna ushabiki hapo kila mtu atabeba msalaba wake. Hizi ni private school walitakiwa kuwa na insurance etc. Hata mwezi haujaisha tayari wameishiwa hata pesa za mishahara, kwani mishahara inalipwa kutokana na malipo ya kila mwezi? Je, ipo katika budget au ndio wachache wanafaidi peke yao? Je, hizo shule za private wamejipanga vipi kabla ya kuanza kulialia?
Unazidi kuropoka!Huu ni wakati wa kuambiana ukweli viongozi wakubali mambo yako out of control
Wajiuzulu ili tutafakari hatima ya Nchi yetu tuweke watu ambao wataweza kututoa hapa tulipo
Safari hii utaiongea tu tena kwa ufasaha kuliko MABEBERU wenyeweHuwa siongei lugha moja na vikuwadi vya Mabeberu.
Basi ni tatizo kubwa sanaSidhani kama kalipwa. Ni lile tatizo la Watanzania kuwa wataalam wa kila kitu. Mtu amesoma HGL na hajawahi kumiliki hata genge la nyanya ila anaongea/anaandika utafikiri anamiliki Amazon na kapiga mpaka PhD ya Business administration
Pumbavu kabisa wewe ipite aliyeikaribisha ni nani, mnayo hii mpaka 2021 round hii lazima akili itawakaa sawaTuombe corona ipite viumbe wasio na hatia wataangamia
Wakulugo hao jamaa hawaoni kinachokuja watakuwa wapole na kutuelewa siku zijazoSafari hii utaiongea tu tena kwa ufasaha kuliko MABEBERU wenyewe
Just giving you hardly one month, just one month to come wote tutaongea lugha moja ya upinzani na kutoridhishwa na utaratibu wa serikali inavyoendeshwa
Ha ha ha ha haaaaa !!! Nacheka kibeberu in the mean time October event is loading aggressively
Tulieni mzae sasa hivi tutaongana lambo ya upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni mbili kwa mwaka watu wanailipa mara 4 yaani 500000.Hivi shule unayolipa ada ya milion 2 kwa mwaka uje useme huna hela ya mshahara kisa shule imefungwa hat miezi 3 haijapita?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie mnasoma vizuri habari yote...waajiri wameshindwa kulipa na kususpend mikataba ya watumishi ila Serikali imechukua jukumu la kuwapa damage compensation.CHADEMA ACHENI PROPAGANDA
Private school teachers lose April, May salaries : The Standard
View attachment 1432618
Yaani hata mtu akiropoka unajibu hoja?Jibu hiyo hoja basi ndio maana likaitwa jukwaa la siasa
sweettablet
Naona wewe uko ki sharishari zaidiYaani hata mtu akiropoka unajibu hoja?