Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

Pole yao! Kuishi bila mshahara na pasipo kujipanga, ni janga lingine kwa wahusika zaidi hata ya Corona. Unaweza ukajikuta unauza gari kwa bei ya pikipiki pale njaa itakapoanza kupanda kutoka tumboni kwenda kichwani.
 

Ni kweli serikali haipati hasara kwa vifo kuongezeka... Tatizo Ni umuhimu wao hao wanaokufa wapo watu wanawategemea kuliko hiyo serikali..
 
Pole yao! Kuishi bila mshahara na pasipo kujipanga, ni janga lingine kwa wahusika zaidi hata ya Corona. Unaweza ukajikuta unauza gari kwa bei ya pikipiki pale njaa itakapoanza kupanda kutoka tumboni kwenda kichwani.
 
Juwata ilishabakwa na serikali kitambo!

Chama cha waalim ndio mic ya ccm unategemea nini hapo?
 
Covd19 inaambatana na anguko la uchumi malizeni kujifukiza halafu njooni tushirikiane kulikabili hili janga

Sisi kama Chadema tungewalipa walimu wa shule binafsi na wala tusingefikia hapa kwa sababu tusingenunua madege makubwa.
 
Kwa hiyo na huyu alikuwa kuwadi wa Mabeberu ati?.
View attachment 1432578








"Hii ndio Lumumba jamani makuwadi wa mabeberu wanaanguka"....alisikika mwananchi mmoja wa kariakoo
Angalia unavyojichora nimekwambia wewe kwa sababu hoja inakushinda unatafuta njia ya kutokea. Kaa kwenye mada ukuwadi wako unajulikana, tupo macho! Weka facts, Wacha Majungu.
 
Kenya wanawalipa walimu wa shule binafsi sasa sijui ni wajinga au sisi ndio wajinga
km wanatumia BIMA ama mifuko ya jamii ?
unataka na sisi wazazi tukawalipe walinzi na wapishi wa shule binafsi wakati watoto wetu tunao majumbani?
Iwe fundisho kwa Mashule ya binafsi, ada kubwa wanainvesti kwenye Majengo na anasa kwa wamiliki
 
Angalia unavyojichora nimekwambia wewe kwa sababu hoja inakushinda unatafuta njia ya kutokea. Kaa kwenye mada ukuwadi wako unajulikana, tupo macho! Weka facts, Wacha Majungu.
Nimekuwekea mpaka video sasa unataka facts gani?
 
Juwata ilishabakwa na serikali kitambo!

Chama cha waalim ndio mic ya ccm unategemea nini hapo?

Sasa hapo ni tatizo la nani? Je, Serikali ni nani? Sasa hapo CCM wameingiaje?
 
Unamaanisha serikali inawalipa walimu wa shule private au sijakuelewa
Kipindi hichi cha corona serkali ndio imefunga mashule sasa Kenya imeamua kulipa mishara ya walimu wa shule binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…