Nimekuwekea mpaka video sasa unataka facts gani?
Umeongea kwa ushabiki sana bila kujali jambo unaloliongelea ni mtambuka na linaumiza wengi sana. Usisahau hapo serikali itakosa kodi pia na inawezekana baadhi ya hizo biashara zisiinuke tena Post-Covid. Haya mambo yanahitaji tafakuri na empathy. Sio kila kitu ni ushabiki!Hii sekta binafsi ambayo school fees zake ni za kufa mtu wanapelekaga wapi pesa zao? Walioajiriwa huko sio wapumbavu/wajinga kwani hawafahamu sheria hadi waje kulialia JF? Covid-19 ikipita wataajiriwa tena na mishahara minono wasitegemee Pesa za walipa kodi kuwanusuru. Kama mwajiri ana makosa sheria zipo wazi.
Mateja wametoka wapi wakati Makonda alimaliza kabisa biashara ya madawa ya kulevya!Hili neno barida mateja wengi sn wanalitumia mitaani.
Sasa kila mtu wa corona niwe nakuletea facts sijui na nini na nini nenda kwa Ummy mwalimu uone kama hujafungwaMkuu unaweza kutengeneza video kama ukipenda na kuwalisha watu matango? Weka ushahidi hapa huyo aliyekufa alikuwa nani na kwa nini amekumbwa na hilo tukio? Usiwe unapenda kurahisisha mambo kama unavyotaka, nenda mbali na fanya uchunguzi wa kina then lete taarifa.
Kipindi hichi cha corona serkali ndio imefunga mashule sasa Kenya imeamua kulipa mishara ya walimu wa shule binafsi
Sasa kila mtu wa corona niwe nakuletea facts sijui na nini na nini nenda kwa Ummy mwalimu uone kama hujafungwa
Kwakweli nikipata fursa nahamia hukoMkuu si-uhamie Kenya tu kama unapenda sera zao, kwani umezuiwa?
Umeongea kwa ushabiki sana bila kujali jambo unaloliongelea ni mtambuka na linaumiza wengi sana. Usisahau hapo serikali itakosa kodi pia na inawezekana baadhi ya hizo biashara zisiinuke tena Post-Covid. Haya mambo yanahitaji tafakuri na empathy. Sio kila kitu ni ushabiki!
Kwakweli nikipata fursa nahamia huko
Sasa wewe kwanini ulikimbia?ninyi ndio watoto wa mabalozi munaotetea mfumo ambao umewanufaishaKenya tu hapo unasema ukipata nafasi? Wenzako tupo mbali na tulijiwezesha kwa mbinu kali, usifikiri kuhama nchi ndio kutaondoa matatizo yako binafsi ya kuwa kasuku wa vibeberu!
Sasa wewe kwanini ulikimbia?ninyi ndio watoto wa mabalozi munaotetea mfumo ambao umewanufaisha
mkuu....umefanya jema sana..umejaribu japo kutoa solution/option.. safi sanaDuh. Hili ni baya kuliko. Hapo akiambiwa tena kuna lockdown anahisi dunia inakuandama.
Nashauri kwa kuwa shule binafsi ni taasisi au kampuni, zingeomba mikopo kwenye mabenki na kisha kuwakopesha wafanyakazi wake hata mshahara wa miezi mitatu (3).
Baada ya kupita kwa janga hili wangekuwa wanawakata kwenye mishahara yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mtu ada kwa mwaka milioni 2, kisha mtikisiko wa mwezi mmoja tu huu hana hela ya kulipa walimu?Kenya wanawalipa walimu wa shule binafsi sasa sijui ni wajinga au sisi ndio wajinga
Umejisahau kwenye posti yako nami nimebana nikijua ukweli ni mchungu angalia ulivyohamaki hahaaa ninyi ndio kula kulala wa system ndio watetezi wa mfumo uliochokwa na mamilioni ya WatanzaniaKwa hiyo kila mtoto wa Balozi ndio yupo nje? Hoja zimekushinda sasa umebaki kupkoteza okoteza tu. Wacha ukuwadi kwa mabeberu. Ngozi yako nyeusi ni mali kuliko hao toilet papers. Basi Tanzania ndio nchi ambayo ina mabalozi wengi. Weka hoja wacha kuleta viroja.
Kumbe shida ni wao wenyewe kuto kujielewaJuwata ilishabakwa na serikali kitambo!
Chama cha waalim ndio mic ya ccm unategemea nini hapo?
Dawa ya huu uongozi uliopo ni kujiuzulu tu kwani wameshindwa