Hivi shule unayolipa ada ya milion 2 kwa mwaka uje useme huna hela ya mshahara kisa shule imefungwa hat miezi 3 haijapita?Serikali ya Kenya inalipa walimu wa shule binafsi.Hii ni Kenya.
Tanzania hata kuwaombea mkopo wa miezi mitatu tu,kwa makubaluano maalum ya kurejesha pesa hizo hali ikirejea,wameshindwa.
Ukweli kwa watu waliopo hata kuwategemea wafikiri hivyo tu,ni kupoteza muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejisahau kwenye posti yako nami nimebana nikijua ukweli ni mchungu angalia ulivyohamaki hahaaa ninyi ndio kula kulala wa system ndio watetezi wa mfumo uliochokwa na mamilioni ya Watanzania
Kama watu niliowachagua ni wazembe unatarajia nifanye nini ninyamaze nitaendelea kuongea ili niwakomboe Watanzania wenzangu kutoka kwenye makucha ya hawaUmeshindwa maisha Tanzania kwa uzembe wako mwenyewe na unataka kuhamia Kenya- Rukhsa
Huo ndio ukweli, lakini kama kawaida Watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Je, ni asilimia ngapi ya Watanzania wanaoenda shule za private? Kodi inalipwa na kila mwananchi na kwa taarifa yako huko ndiko kuna ukwepaji wa kodi ukichunguza kwa makini. Covid-19 kweli italeta na kusababisha uchumi kupungua sio Tanzania pekee ni ulimwenguni kote so what is so special tuwe na empathy kwa walimu wa shule za private? Hakuna ushabiki hapo kila mtu atabeba msalaba wake. Hizi ni private school walitakiwa kuwa na insurance etc. Hata mwezi haujaisha tayari wameishiwa hata pesa za mishahara, kwani mishahara inalipwa kutokana na malipo ya kila mwezi? Je, ipo katika budget au ndio wachache wanafaidi peke yao? Je, hizo shule za private wamejipanga vipi kabla ya kuanza kulialia?
Kama watu niliowachagua ni wazembe unatarajia nifanye nini ninyamaze nitaendelea kuongea ili niwakomboe Watanzania wenzangu kutoka kwenye makucha ya hawa
Wewe ni mnufaika wa hii system iliyooza ndio maana unakomaa mpaka mishipa ya shingoHuna wa kumkomboa Mtanzania yoyote yule wewe ni puppet tu.
kwani shule ziki funguliwa juni au july wanafunzi hawatalipa ada ya mwaka husika?View attachment 1432554itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
View attachment 1432558View attachment 1432562
Hii sekta binafsi ambayo school fees zake ni za kufa mtu wanapelekaga wapi pesa zao? Walioajiriwa huko sio wapumbavu/wajinga kwani hawafahamu sheria hadi waje kulialia JF? Covid-19 ikipita wataajiriwa tena na mishahara minono wasitegemee Pesa za walipa kodi kuwanusuru. Kama mwajiri ana makosa sheria zipo wazi.
Hata Association of Tanzania Employers inapswa kuomba muongozo kwa serikali.View attachment 1432554itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
View attachment 1432558View attachment 1432562
Utaomba mkopo wakati hauzalishi chochote na haujui hili janga litaisha lini ?Duh. Hili ni baya kuliko. Hapo akiambiwa tena kuna lockdown anahisi dunia inakuandama.
Nashauri kwa kuwa shule binafsi ni taasisi au kampuni, zingeomba mikopo kwenye mabenki na kisha kuwakopesha wafanyakazi wake hata mshahara wa miezi mitatu (3).
Baada ya kupita kwa janga hili wangekuwa wanawakata kwenye mishahara yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali imepwaya sana kwenye hili janga.Serikali ya Kenya inalipa walimu wa shule binafsi.Hii ni Kenya.
Tanzania hata kuwaombea mkopo wa miezi mitatu tu,kwa makubaluano maalum ya kurejesha pesa hizo hali ikirejea,wameshindwa.
Ukweli kwa watu waliopo hata kuwategemea wafikiri hivyo tu,ni kupoteza muda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kalipwa kwa kazi hiyo hivyo ni lazima ajitwishe kila mzigo wa mavi na kuurusha humu.Umeongea kwa ushabiki sana bila kujali jambo unaloliongelea ni mtambuka na linaumiza wengi sana. Usisahau hapo serikali itakosa kodi pia na inawezekana baadhi ya hizo biashara zisiinuke tena Post-Covid. Haya mambo yanahitaji tafakuri na empathy. Sio kila kitu ni ushabiki!
Hapo umeropoka. Na ni mbaya sana kwa mtu mzima kuropoka.Raisi Magufuli na Baraza lake la Mawaziri wajiuzulu nchi iko katika hali mbaya
Huu ni wakati wa kuambiana ukweli viongozi wakubali mambo yako out of controlHapo umeropoka. Na ni mbaya sana kwa mtu mzima kuropoka.