Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

Mikataba ya kazi ya kibongo ya kuGoogle mingi iko iko tu.

Unausoma katikati unakuta katajwa "Mr.Smith" au font na punctuation zinatofautiana.
 
Kalipwa kwa kazi hiyo hivyo ni lazima ajitwishe kila mzigo wa mavi na kuurusha humu.

Hili taifa limepotea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kalipwa. Ni lile tatizo la Watanzania kuwa wataalam wa kila kitu. Mtu amesoma HGL na hajawahi kumiliki hata genge la nyanya ila anaongea/anaandika utafikiri anamiliki Amazon na kapiga mpaka PhD ya Business administration
 
Utakuwa mwajiriwa ambaye una uhakika na mshahara. Ndio maana unaandika tu, kwa sababu una bundle. Subiri siku uwe na biashara hata ndogo ndio uje uandike ulichoandika hapa.
 
Huwa siongei lugha moja na vikuwadi vya Mabeberu.
Safari hii utaiongea tu tena kwa ufasaha kuliko MABEBERU wenyewe

Just giving you hardly one month, just one month to come wote tutaongea lugha moja ya upinzani na kutoridhishwa na utaratibu wa serikali inavyoendeshwa

Ha ha ha ha haaaaa !!! Nacheka kibeberu in the mean time October event is loading aggressively

Tulieni mzae sasa hivi tutaongana lambo ya upinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakulugo hao jamaa hawaoni kinachokuja watakuwa wapole na kutuelewa siku zijazo
 
Hii serikali ya dikteta jiwe, siyo ya wanyonge ni ya wanyonyaji. Zitto ameishauri serikali kuwa, iruhusu mifuko ya hifadhi ya jamii iwape mishahara watumishi wa sekta binafsi ambao ni wanachama wa mifuko hiyo ya jamii. Kwa sababu pesa iliyoko kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ni michango yao kutoka kwenye mishahara yao. Lakini serikali ya wanyonyaji imeweka pamba masikioni . hovyo kabisaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…