miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kaka kuna vitu fulani ukiendekeza kama kijana kamwe huwezi kufanya maendeleo sasa hapo kaka atajenga na kusomesha watoto shule nzuri kweli kwa aina hiyo ya mwanamke...Hawezi kuwa na huruma sababu ulishamhakikishia unazo tu na yupo sababu anazipata hizo hela[emoji28]!!!
Kama utafikia kuoa huyo demu kwa siku za usoni hakikisha hio kazi unayofanya ya kukupa hizo pesa & butters haiishi kwa namna yeyote maana hamtakatiza miezi 6 ukiwa jobless kabla hajakulambisha mchanga!
Mwanamke wako ana influence sana maendeleo yako kama utapata mwanamke kichwa! Ila hawa vichwa maji wa kuwaza kubandika kucha na kutoka out vilabuni kila weekend then una safari ndefu sana ya kutoboa maana 50% ya pato litakuwa linaishia kumfurahisha yeye!Kaka kuna vitu fulani ukiendekeza kama kijana kamwe huwezi kufanya maendeleo sasa hapo kaka atajenga na kusomesha watoto shule nzuri kweli kwa aina hiyo ya mwanamke...
Fact kaka wanawake wengi wanajua mwanamme ni mtu wa kuchunwa na sio kufanya nae maisha....sikuhizi kilasiku ni kuombwa matumizi tu na ukilegeza kodi utatoa, na wadogo zake utasomesha ukija shtuka mahari yake hauiwezi wenzio wanang'oa chumaMwanamke wako ana influence sana maendeleo yako kama utapata mwanamke kichwa! Ila hawa vichwa maji wa kuwaza kubandika kucha na kutoka out vilabuni kila weekend then una safari ndefu sana ya kutoboa maana 50% ya pato litakuwa linaishia kumfurahisha yeye!
Hahahahahahah demu anakutumia kama daraja na wewe upo tu umebungβaa ukibaniwa sauti umelegeaFact kaka wanawake wengi wanajua mwanamme ni mtu wa kuchunwa na sio kufanya nae maisha....sikuhizi kilasiku ni kuombwa matumizi tu na ukilegeza kodi utatoa, na wadogo zake utasomesha ukija shtuka mahari yake hauiwezi wenzio wanang'oa chuma
Umeongea kwa hisia sana. That was a deep shit. Ila sasa vichwa vyenu vya chini huwa vina maamuzi makubwa zaidi ya vichwa vya juu[emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635]Mwanamke wako ana influence sana maendeleo yako kama utapata mwanamke kichwa! Ila hawa vichwa maji wa kuwaza kubandika kucha na kutoka out vilabuni kila weekend then una safari ndefu sana ya kutoboa maana 50% ya pato litakuwa linaishia kumfurahisha yeye!
Heheheh sio cha kwangu beste π,,, im super sensitive when it comes to being used!Umeongea kwa hisia sana. That was a deep shit. Ila sasa vichwa vyenu vya chini huwa vina maamuzi makubwa zaidi ya vichwa vya juu[emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635]
hahahaha asilimia 90% wanatutumia kama madaraja ya kufikia ndoa bora wanazoziota......inahitajika akiki ya ziada sana kugundua hiloHahahahahahah demu anakutumia kama daraja na wewe upo tu umebungβaa ukibaniwa sauti umelegea
Heheheh akipata bwana wa ndoto zake anaanza visa anakuacha solemba na nyuzi za vilio jeiefu πππhahahaha asilimia 90% wanatutumia kama madaraja ya kufikia ndoa bora wanazoziota......inahitajika akiki ya ziada sana kugundua hilo
Angekuwa mkeo kakufanyia hivyo siyo mbaya, kama ni lidem tu litakuwa jizi sanaaa mwanamke anaye kupenda hawez kukuchukulia hela kinyemela bila kukuomba au kukupa taarifa.Wakuu ..siku mbili tatu hiz kuna majukum makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80...
Sasa nikabak na kapesa kadogo kakusukuma siku mbil tatu...
Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref...huyu bint toka hyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.
Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.
Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..
Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?
Inamana tumezoeana sana ama?
Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah
Uzi tayar...
Ha ha ha ha ha ha yaan huwa muna maamuzi ya kishujaaa. Yaan hutaamini na venye hakuna cha kuwafanya... ila its very bad kumtumia mtu. Its a sin. Na haisameheki hakika. Na hasa akiwa jambazi. Mwanamke bora awe mbea ila siyo jambaziHeheheh sio cha kwangu beste [emoji7],,, im super sensitive when it comes to being used!
Hawez kukuamin kwasababu umesha jiaminisha Una pesa, kila akikuomba pesa Una mpa Kwa wakati, unatakiwa Umzoeshe kuto kumpa pesa unataki wakati mwingine akikuomba pesa unatakiwa umnyime ili ajue kama unaishiwaga pesa, siyo kila akikuomba pesa lazima umpe ni kosa unafanya.Hapana.ni demu wangu sema.huwa haamin nikimwambia sina hela...sjui wanawake wengne hamna huruma au nin..tena nimejielezea sana kuwa hal ni mbaya ntampa j5 hyo hela..sasa kachkua hela hapa hata vocha siwez nunua...
Ukolon mambo leo???Sasa aliona tangu saba saba unampinda tu bila tips kiasi akaona utampiga wash kweupe weweπππ
Hilo siyo kosa la kumuacha mkuu wewe mpige Ukoloni mambo leo mpaka uridhike. Pesa ya mgumu inarudi hivyo
Basi kapitiwa tu, utakua ulimkera sana! Yamalize kiume ukishindwa niite inbox niongee naeNi demu wangu chief tena wa muda..ni mazoea mabaya tu .na ni mara ya kwanza anafanya hiv
Wa Africa tuna tabia ya kusachi vitu vya wagen, marafik, wapenz, ata wewe naima umewai kusachiNadhani umemdekeza sana...anaanzaje kukusachi na wewe unakubali...usipojua kuacha leo hutakuja kuacha kamwe