Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

Mimi ntakua against na wewe kwasababu kadhaa wa kadhaa...

Kuna wachezaji wengi Sana tunaweza kuwa mention hapa..
ambao walianza kua makinda kwenye timu kubwa na wakafanya vizuri na dunia ikawajua issue Ni kujiamini na kujituma mazoezini na uwanjani bila kusahau Mwenyezi Mungu..

Nilikua naangalia mechi ya Jana ya Simba mtu kama ONANA anavyo kosa kosa mabao ya wazi wazi 😊 bagoshaa

Binafsi kazi rahisi na ambayo Mwenyezi Mungu aliiweka ndani yangu Ni mpira wa miguu

Kwenye mguu wangu wa kushoto mungu aliweka kipaji Cha ajabu nimeshuhudia mengi Sanaa uwanjani jinsi mpira ulivyo nitii Ila nili udharau mpira wa miguu nikakomaa na kitabu

Enzi zile mpira haukua na value Kama leo
 
UNAWEZA KUNIAMBIA KUWA WACHEZAJI WAZAWA WANAOCHEZA YANGA NA SIMBA HAWAJUTUMI??
HIZI TIMU ZINATABIA ZA KUHUSUDU WAGENI KULIKO WAZAWA VIJANA WANAPIGA TIZI LAKINI HAWAPATI MATCH FITNESS

YUPO WAPI GADIEL MICHAEL WA YANGA NA YUPO WAPI BENO KAKOLANYA WA YANGA??

YUPO WAPI DENISI NKANE WA NABI AU UNATAKA KUSEMA DENIS NI MBOVU KULIKO SKUDU MBONA SKUDU ANAPATA NAMBA DENIS HAPATI ??
 
Dauda kwenye Moja na mbili
 
Hahahahaha hili konzi umepigaje
 
Katika maisha ya binadam yeyeto kwenye utafutaji chakwanza ni pesa pesa pesa!. Soup hajuzikataa Simba na yanga Bali Azam walimpa pesa iliyozidi ofa ya timu hizi.
 
Mk
Mkuu haya mawazo ni yake sio ya mashabiki wa yanga sawa . Huyu pimbi hata sisi Wana yanga hatumtambui yupo kama kimbora hivi...
 
Katika maisha ya binadam yeyeto kwenye utafutaji chakwanza ni pesa pesa pesa!. Soup hajuzikataa Simba na yanga Bali Azam walimpa pesa iliyozidi ofa ya timu hizi.
KWANI UNAZANI AZAM WALIWEKA DAU KUBWA SANA KUWAZIDI SIMBA NA YANGA
 
Mk

Mkuu haya mawazo ni yake sio ya mashabiki wa yanga sawa . Huyu pimbi hata sisi Wana yanga hatumtambui yupo kama kimbora hivi…
pole sana kijana unashindwa kujikita kwenye hoja unatumia hisia kiusambaza chuki
 
Kocha aliyekuwa anatoa nafasi kwa Simba na Yanga mpaka kwa vijana ni Nabi, wengine sioni
 
Kocha aliyekuwa anatoa nafasi kwa Simba na Yanga mpaka kwa vijana ni Nabi, wengine sioni
HAKIKA MKUU NABI ALIPENDA SANA TALANTA ZA VIJANA WA KIBOKO
DENIS NKANE ALIPENDWA SANA NA NABI KILA UKIMTAJA NABI NAMKUMBUKA NKANE NA COASTAL UNION KWENYE KOMBE LA FA ADDUL SOPU KATUPIA TATU YANGA WAMELOWA DAKIKA ZA MWISHO KABISA NKANE KASIMAMA ANAKWENDA KUWEKA KAMBA YA KUSAWAZISHA
 
🤣🤣🤣 kwanza wachezaji wengi wanaelimu ndogo Sana. Hii pia inasababishwa na umri ambao ilibidi wawe shule kukomaza akili ndio umri sahihi wa kucheza mpira so wasipopata washauri Wazuri lazima wakosee. Simba ilienda kubomoa utawala wa Yanga Wala sio kwamba iliwahitani Sana Ajibu na Gadiel ila Kwa sababu uelewa wao ulikuwa mdogo wakaingia kwenye 18 zao. Hata Morison kurudi Yanga kutoka Simba ilikuwa kuibomoa Simba baada ya kutawala soka la Tz Kwa miaka minne
 
Nkane, Mshery &Farid hawaitaji ushauri?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…