Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

Wewe ndiye Dauda?
Naomba niseme wazi kuwa sikupendi kwa kuwa wewe ni mmoja wa wahuni wanaoharibu maendeleo ya soka nchi hii ili kwa gharama ya kujipatia kipato na umaarufu.

Umeanzisha ndondo cup kwa nia ovu ambayo naomba isifanikiwe.Unaongoza kampeni ya kushambulia viongozi wa TFF na unatamani premier league isiwe na nguvu kama mashindano yako ya ndondo basi tu ndio uwezo huna kwa sasa.

Domayo yuko wapi na mafanikio yake yakoje kwa sasa?Maana naye ulimshauri asisajiliwe hapa na Simba au Yanga!

Badala ya kuwa influence vijana ili upate pesa,ni bora ungeacha soko liamue kwani hata hapo Simba,hawapati nafasi kwa ajili ya mapungufu ya viongozi wa sasa na walimu wanaowaleta.Je hujawahi kuona vijana walioaminiwa Simba?
Acha hizo
Kunywa maji ..vuta kiti ukae....sio Kwa povu hili....
 
Back
Top Bottom