Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano kuna ukwapuaji umefanyika hapo kati ya January na Mach 2021. Kimsingi ange-dout kuanzia January 2016+ kama amedhamiria kufukunyua ufisadi.
Swali langu, utawezaje kuchunguza fedha za BoT bila kumchunguza na Waziri wa Fedha? Sasa si huyu anayesifiwa ndiye alikuwa Waziri mwenye dhamana ambaye Gavana na Katibu Mkuu walikuwa chini yake? Leo nani atamchunguza Makamu wa Rais?
Is Samia seriuos?
#FreedomIsBack