kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikaa na kufanyakazi na waha ni balaa, kwa upole na kufanyakazi wako vizuri ila kwa fitna na kuzungukana wako vizuri. Angalia Zitto hajawahi kamatwa Kama Mbowe.Pengine aliempa hizo taarifa na kumpa mbinu ya kuomba BOT wamletee hizo Taarifa ni Dr Mpango
Kumbuka Paymaster General Doto James alikuwa anaingia Ikulu bila ya appointment muda wowote
Una imani atafanya Nini? Kazi ya VP Ni kupanda miti tuBinafsi Nina Imani na mpango sijui kwa nini..
Kwa sababu mmekosa wote ndo maana hata hujui kwanini una imani nae.Binafsi Nina Imani na mpango sijui kwa nini..
Tz siyo ya marehemu.Cv yake ni kali ! Akiitumia vizuri Tz ya marehemu JPM itazidi kusonga mbele . Hongera Mama kwa kuona mbali .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nyumbu acha kupangia watu mahaba yao, uliona alivyoagwa, huna budi kusikia sifa zake hadi kifo kitakapokukuta na wewe, kwa iyo kuweni wapole tu mpractice iyo democracy ya pro magufuli kusema vitu vyao, kama hamtaki, hamieni serengeti national park then migrate to maraAcha kutuaibisha marehemu hana chake tena, hakuna tz ya marehemu. Kama ukipenda kiasi hicho mfate ukaishi naye huko alipo. Kifupi ccm ni ileile hakuna asiye mwizi
Exactly ndivyo ilivyo Mpango , katoa siri zote za wizi wa hela ndio maana mama kamteua , hata hiyo mbinu kaambiwa na Mpango . Mpaka hela zingine DPP Bizwalo Mganga alizipeleka China kuficha kwa balozi Mbelwa KariukiPengine aliempa hizo taarifa na kumpa mbinu ya kuomba BOT wamletee hizo Taarifa ni Dr Mpango
Kumbuka Paymaster General Doto James alikuwa anaingia Ikulu bila ya appointment muda wowote
Majungu au wanajadili? Hao ni watanzania Wana haki ya kujadili kuhusu nchi yaoToeni majungu yenu serikali imevipa vyombo huru kuchunguza na tayari kazi imeanza, jana mmemsifu CAG leo mnamkana kwamba hana meno, tulieni mpeni muda CAG na TAKUKURU. Tumetekeleza Kazi inaendelea
Ikiwa itagundulika ana nakosa anaweza tenguliwa?
Yaani hii ndio shida ya Wapambe nuksi, mkuu. Wamekaa kishetani shetani sana. Shida iko wapi tukijadili ya nchi yetu, Wapambe hawa.Majungu au wanajadili? Hao ni watanzania Wana haki ya kujadili kuhusu nchi yao
Nilikaa na kufanyakazi na waha ni balaa, kwa upole na kufanyakazi wako vizuri ila kwa fitna na kuzungukana wako vizuri. Angalia Zitto hajawahi kamatwa Kama Mbowe.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂Nilikaa na kufanyakazi na waha ni balaa, kwa upole na kufanyakazi wako vizuri ila kwa fitna na kuzungukana wako vizuri. Angalia Zitto hajawahi kamatwa Kama Mbowe.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Punguzeni ujinga na upumbavu.
Siyo kila kitu ni cha kuweka weka maneno tu muda wote
Possible kabisaKuwa waziri wa fedha haina maana ya kwamba ana access na mvinyo ulio hazina ama BOT, mkwapuaji wetu atakuwa bwana keshia, gavana na wahuni wengine humo ndani