Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

Huyu Makamu alicho nishangaza ni Kuhutubia mambo ya Magufuli. Huyo JPM alikuwa mwizi tu kama wezi wengine. Asije dhani yy kuteuliwa na Samia ni Shukrani ya familia ya Marehemu kwake. Hii nchi imejengwa ktk misingi ya JK. Nyerere. Siyo huyo Dictator wake. Kwanza alikuwa sehemu nyeti sn. Hivyo wizi wote kashiriki. Wzi wote wa JPM 1.5 trioni, Ndege na miradi mikubwa anajua.Kupendelea budget Chato ni yeye. Naamini mama aki amua kufukua makaburi ya JPM hata yy ata jiuzuru. Yy atuambie ata tufanyia nn Watanzania? siyo kuleta projo za mapambio. Be neutral bro.
 
Nadhani umeshindwa kutofautisha kati ya;

1. Ukaguzi wa fedha za serikali kuanzia kipindi cha mwezi Jan to march.
huu ni ukaguzi wa kawaida wa hesabu za serikali ili kujiridhisha lkn safari hii umetumika utaratibu maalum na kwa sababu maalum ktk kipindi hicho.


maelekezo yalitolewa kwa CAG kupitia/kukagua fedha zote zilizotolewa kutoka BOT kwenda kwenye miradi ya maendeleo kuanzia mwezi Jan hadi March.

2. Uchunguzi hufanyika panapo kuwa na tuhuma za wazi za ubadhirifu kama ilivyo kuwa TPA ambapo mkurugenzi na watendaji wa bandari wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi. maelekezo ialitolewa kwa TAKUKURU.
ripoti ya cag ilibainisha kuwa Bandari kuna ubadhirifu wa kutisha!
 
Huyu Makamu alicho nishangaza ni Kuhutubia mambo ya Magufuli. Huyo JPM alikuwa mwizi tu kama wezi wengine. Asije dhani yy kuteuliwa na Samia ni Shukrani ya familia ya Marehemu kwake. Hii nchi imejengwa ktk misingi ya JK. Nyerere. Siyo huyo Dictator wake. Kwanza alikuwa sehemu nyeti sn. Hivyo wizi wote kashiriki. Wzi wote wa JPM 1.5 trioni, Ndege na miradi mikubwa anajua.Kupendelea budget Chato ni yeye. Naamini mama aki amua kufukua makaburi ya JPM hata yy ata jiuzuru. Yy atuambie ata tufanyia nn Watanzania? siyo kuleta projo za mapambio. Be neutral bro.
We endelea kuongea upupu nchi inazidi kwenda.
 
Hoja mujarab...!!!
You know what? CCM ni walewale pengine hii ni kujaribu kuficha uozo wa BOT!!
Huwezi kuhoji upotevu wa Fedha BOT ukamtenga Waziri wa Fedha, Gavana BOT na Mweka Hazina Mkuu wa Serikali. Hapa ni kupigwa changa la macho tu!
Labda sababu alikuwa mgonjwa , anaweza sema me sikuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taasisi kuwa chini ya mtu haimaanishi kuwa kana kuna makosa yamefanywa basi na kiongozi lazima amehusika.

Wewe mkeo yuko chini yako je akizini nje na wewe unahusika?
 
Hivi kila linalotokea BoT lazima Waziri wa Fedha awe na habari nalo hasa kwa kipindi kifupi kama hiki.Is it not an autonomous body in some respects?May be we need to be more pragmatic,tusilaumu kila kitu,hata pale ambapo sio lazima.To me Phillip Mpango is the right choice to help the President.Amesimamia upatikanaji wa fedha wa miradi mbali mbali na amehakikisha kwamba zinatumika vizuri mpaka hapa tulipofika.He knows the small details,the nits and grits,which the President does not know,so he will be an invaluable asset for her.

Ninyi hamna jema, kwa hiyo ni watu wa ku-ignore.
 
Punguzeni ujinga na upumbavu.

Siyo kila kitu ni cha kuweka weka maneno tu muda wote
Yaani kuna upumbavu mwingi sana mkuu.It is unimaginable.
Hivi kila linalotokea BoT lazima Waziri wa Fedha awe na habari nalo hasa kwa kipindi kifupi kama hiki.Is it not an autonomous body in some respects?May be people need to be more pragmatic and sensible,watu wasilaumu kila kitu,hata pale ambapo sio lazima.

To me Phillip Mpango is the right choice to help the President.Amesimamia upatikanaji wa fedha wa miradi mbali mbali na amehakikisha kwamba zinatumika vizuri mpaka hapa tulipofika.He knows the small details,the nits and grits,which the President does not know,so he will be an invaluable asset for her.

Sioni frankly,how Mpango can can betray his country, ni mwaminifu na patriotic mno.Besides he is a very religious person.

Watu hawana jema, kwa hiyo ni wa ku-ignore.
 
Kuna vitu haviwezi kumkuta waziri moja kwa moja. Mfano mkuu wa shule amekula hela za ujenzi wa madarasa huwezi kumtumbua waziri wa elimu au TAMISEMI
 
Tambua kuwa watuhumiwa wa wizi wa fedha ni waliokuwa wapendwa na ndugu wa Hayati.

Unajuaje pengine Mpango ndiye aliyempa hint Mh. kuwa kule kulikuwa kunafanyila uchafu mwingi lakini sikuwa na uwezo wa kuwagusa?
 
Back
Top Bottom