Watapata nafasi ya kushauriana miradi inayofaa kuendelezwa na kuachana na miradi isiyo na tija la taifa.Mama kamleta karibu mtu anaejua vizuri matumizi ya fedha za miradi mikubwa wakati wa JPM
Cv yake ni kali ! Akiitumia vizuri Tz ya marehemu JPM itazidi kusonga mbele . Hongera Mama kwa kuona mbali .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Hoja mujarab...!!!
You know what? CCM ni walewale pengine hii ni kujaribu kuficha uozo wa BOT!!
Huwezi kuhoji upotevu wa Fedha BOT ukamtenga Waziri wa Fedha, Gavana BOT na Mweka Hazina Mkuu wa Serikali. Hapa ni kupigwa changa la macho tu!
Huyu Makamu alicho nishangaza ni Kuhutubia mambo ya Magufuli.
...,Yy atuambie ata tufanyia nn Watanzania? siyo kuleta projo za mapambio. Be neutral bro.
Mpango mwenyewe kasema lazima kuyaenzi na kuyatekeleza maono ya MagufuriAcha kutuaibisha marehemu hana chake tena, hakuna tz ya marehemu. Kama ukipenda kiasi hicho mfate ukaishi naye huko alipo. Kifupi ccm ni ileile hakuna asiye mwizi
Bado siamin zao la NYANI ,litakuwa Simba....NYANI DAIMA HUZAA NYANI,NA NYANI DAIMA HUISHI NA NYANI...Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano kuna ukwapuaji umefanyika hapo kati ya January na Mach 2021. Kimsingi ange-dout kuanzia January 2016+ kama amedhamiria kufukunyua ufisadi.
Swali langu, utawezaje kuchunguza fedha za BoT bila kumchunguza na Waziri wa Fedha? Sasa si huyu anayesifiwa ndiye alikuwa Waziri mwenye dhamana ambaye Gavana na Katibu Mkuu walikuwa chini yake? Leo nani atamchunguza Makamu wa Rais?
Is Samia seriuos?
#FreedomIsBack
Adui namba moja wa taifa hili NI lijitu liitwalo CCMCCM ni ile ile ! Niliwaambia watu punguzeni expectations nyingi
Hivi tangu lini cheo cha makamu wa raisi kimekuwa na nguvu hiyo..huyo atazindua vyoo na mifereji ya maji machafu..JK anaongoza nchi kwa mbaaliiiBinafsi Nina Imani na mpango sijui kwa nini..
Wewe ni ile team MsG mliokuwa ba VP wenu mfukoni.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano kuna ukwapuaji umefanyika hapo kati ya January na Mach 2021. Kimsingi ange-dout kuanzia January 2016+ kama amedhamiria kufukunyua ufisadi.
Swali langu, utawezaje kuchunguza fedha za BoT bila kumchunguza na Waziri wa Fedha? Sasa si huyu anayesifiwa ndiye alikuwa Waziri mwenye dhamana ambaye Gavana na Katibu Mkuu walikuwa chini yake? Leo nani atamchunguza Makamu wa Rais?
Is Samia seriuos?
#FreedomIsBack
Kuna Watz wapuuzi sana hasa ma-CCM. Bado wanafikiri hii Tanzania bado ni ya Hayati Magufuli. That's very NONSENSE!!!!. Biblia imesema wazi kabisa kuwa Mungu si Mungu wa WAFU na bado imeende mbele zaidi na kusema AMELAANIWA AMTEGEMEAE MWANADAMU tena marehemu!!!!.Hii ni Tanzania ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Huwa hatuongozwi na wafu
Ya Magufuli ilikwisha siku aliyotoa Roho akabaki kwenye machine mpaka walipotangaza rasmi. Tuheshimu Utawala na ukiisha umeisha. Hatuna Tanzania ya Magufuli sisi.
Baadhi ya Wabongo mna washwa washwaaaaa. Tafuteni pesa. Mkizipata mtapona huo ugonjwa wenu wa kuwashwa washwaRais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano kuna ukwapuaji umefanyika hapo kati ya January na Mach 2021. Kimsingi ange-dout kuanzia January 2016+ kama amedhamiria kufukunyua ufisadi.
Swali langu, utawezaje kuchunguza fedha za BoT bila kumchunguza na Waziri wa Fedha? Sasa si huyu anayesifiwa ndiye alikuwa Waziri mwenye dhamana ambaye Gavana na Katibu Mkuu walikuwa chini yake? Leo nani atamchunguza Makamu wa Rais?
Is Samia seriuos?
#FreedomIsBack
Maswali yako ni mazuri sana,ila na mimi najiuliza,ni kwa jinsi gani tunaweza kujiridhisha kwamba hii scandal haikutengenezwa na wana mtandao ili kumzuia Dr, F. Mpango kuwa VP?Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano kuna ukwapuaji umefanyika hapo kati ya January na Mach 2021. Kimsingi ange-dout kuanzia January 2016+ kama amedhamiria kufukunyua ufisadi.
Swali langu, utawezaje kuchunguza fedha za BoT bila kumchunguza na Waziri wa Fedha? Sasa si huyu anayesifiwa ndiye alikuwa Waziri mwenye dhamana ambaye Gavana na Katibu Mkuu walikuwa chini yake? Leo nani atamchunguza Makamu wa Rais?
Is Samia seriuos?
#FreedomIsBack
Tanzania ni ya watanzania,si ya ccm au chama chochote cha siasa.Ni muhimu sana kulijua hiliKuna Watz wapuuzi sana hasa ma-CCM. Bado wanafikiri hii Tanzania bado ni ya Hayati Magufuli. That's very NONSENSE!!!!. Biblia imesema wazi kabisa kuwa Mungu si Mungu wa WAFU na bado imeende mbele zaidi na kusema AMELAANIWA AMTEGEMEAE MWANADAMU tena marehemu!!!!.
Ma-CCM mtegemeeni Mungu na si Marehemu Magufuli...!!!Over n' Out.
Uko vizuri Mkuu. Waambiwe hao viziwi waliobebwa na mwendazake. Mungu wao huyo waendelee kumuabudu. Sisi tuko live na Live President Samia Suluhu HasanKuna Watz wapuuzi sana hasa ma-CCM. Bado wanafikiri hii Tanzania bado ni ya Hayati Magufuli. That's very NONSENSE!!!!. Biblia imesema wazi kabisa kuwa Mungu si Mungu wa WAFU na bado imeende mbele zaidi na kusema AMELAANIWA AMTEGEMEAE MWANADAMU tena marehemu!!!!.
Ma-CCM mtegemeeni Mungu na si Marehemu Magufuli...!!!Over n' Out.