Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

Atakuwa jimboni kwake anakusanya kero za wapiga kura wake ili aje kuihoji Serikali ilikuwa wapi mpaka maisha ya wanakongwa yamekuwa ya kifukara kiasi kile.......!
 
Kwa siasa chafu alizoendesha chini ya dhalimu, anastahili kukutwa na mabaya ili ajue dunia ni duara.
Acha kuwa na roho mbaya. Ukiulizwa siasa gani chafu alizoendesha utasema kuruhusu akina Mdee Bungeni. Mna matatizo sana watanzania.
 
Hapa Betisaida kilasiku tunakutana nae
 
Viongozi ishini maisha mema
utawala ni wa muda tu ni zaidi ya dhamana.

Upendo ukitawala.
 
Labda yupo kwenye kifungo cha ndani, Yani labda haruhusiwi kutoka nje ya geti maana kule sio kujiuzulu tu bali ni kukimbia kama ilivyo kwa bashite na yeye ajiandae kunyolewa upara wake
 
Acha kuwa na roho mbaya. Ukiulizwa siasa gani chafu alizoendesha utasema kuruhusu akina Mdee Bungeni. Mna matatizo sana watanzania.

Nikikuambia aliendesha siasa chafu sina shaka na hilo.
 
Non of our business, he is irrelevant kwa sasa. Nasikia amejinyonga
 
Kwa Jambo lililomkuta ni lazma ajipe muda zaidi wa kumpumzika. Anawez kwenda Israel kuhji kidgo Akili ikae sawa.
Tumuache lazma atarud tu. Ila itachukua muda mrefu hta mwaka.
 
Karma is real
Job Ndugai kamfukuza Lissu bungeni Leo hii Job huyu huyu anaona aibu kuingia bungeni. Yaani kajifukuzisha bungeni.
Na Kama Betina atatumia utaratibu aliotumia Job kumfukuza Lissu, Basi ni miezi michache tu Job atafukuzwa bungeni.
One thing you can be sure of is
JOB HAKANYAGI MLE BUNGENI TENA LABDA MWILI WAKE UPELEKWE AKIFA
 
Akichukia anakutwisha hengo
 

Anaogopa kukaa benchi la nyuma ndani ya bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…