Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Yuko wapi?😎Ayubu yupo msijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yuko wapi?😎Ayubu yupo msijali
Acha kuwa na roho mbaya. Ukiulizwa siasa gani chafu alizoendesha utasema kuruhusu akina Mdee Bungeni. Mna matatizo sana watanzania.Kwa siasa chafu alizoendesha chini ya dhalimu, anastahili kukutwa na mabaya ili ajue dunia ni duara.
Hapa Betisaida kilasiku tunakutana naeMara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Labda yupo kwenye kifungo cha ndani, Yani labda haruhusiwi kutoka nje ya geti maana kule sio kujiuzulu tu bali ni kukimbia kama ilivyo kwa bashite na yeye ajiandae kunyolewa upara wakeMara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Acha kuwa na roho mbaya. Ukiulizwa siasa gani chafu alizoendesha utasema kuruhusu akina Mdee Bungeni. Mna matatizo sana watanzania.
Non of our business, he is irrelevant kwa sasa. Nasikia amejinyongaMara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Kwa Jambo lililomkuta ni lazma ajipe muda zaidi wa kumpumzika. Anawez kwenda Israel kuhji kidgo Akili ikae sawa.Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Nimesoma sehemu iliyoandikwa kwamba mkewe amewaambia wanaohoji aliko mumewe wamuache apumzikeAendelee kupumzika kwa amani [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mjinga wewe, jibu hoja kama huwezi nyamaza.Swali la kijinga
Hahahaaa 😂😂😂 atakuja nae siku sensa ikianza.Yupo chimbo anamtafuta mke wa Yesu kwenye vitabu vya kale.
Akichukia anakutwisha hengoMTU akiniomba ushauri namwambia usije kuoa mgogo au kuolewa na mgogo waache waoane wenyewe
Hakuna watu wenye hasira kama hilo kabila akichukia hadi anatetemeka na kutoka mijasho utafikiri ana malaria kali anashindwa hadi kuongea
Ukabila ruksa hasa kwa wagogo waachwe waoane wenyewe makabila mengine kaeni nao mbali
Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma.