Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

ALIKUWA ANAUMWA NINI? KISUKARI?
 
ALIKUWA ANAUMWA NINI SASA?
 
Tanzania, tume huundwa nyuma ya mikamera majibu ya hizo tume nyuma ya pazia
 
Kauli za jk na mama kwenye misiba ya ndungulile na mafuru zinaleta ukakasi!ni kama mafuru alikua team mama halafu ndungulile team jk!

Inawezekana team mbili zimelipana kijasusi nani ajuaye!coz marehem wote walikua na influence kimataifa na wao waliwapigia kampeni watu wao wapate walichowapigania Kwa maslahi yao!yaani jk kwa ndugulile na mafuru Kwa Mama!!
 
Kuna mzee mmoja aliwah kusema wazuri hawafi
 
Kama taifa tumepoteza fursa kubwa sana, kama familia itakuwa huzuni isiyo bebeka kwa urahisi.
Lakini pia kupitia andiko hili kama taifa kuna kitu cha kujifunza, na kujifunza kunaambatana na gharama.
Hivi kabla yake hiyo nafasi alikuwepo nani?
 
ahahaaaaa
 
Bongo kuta utaratibu mbaya sana wa kuficha taarifa za viongozi kama wanaumwa,tunaushia kuletewa breaking news tu kwamba mtu kaanguka. Rip Dr Ndugulile.
Athari za siasa za ujamaa hizi na ukomunisti kwa mbali....Kila kitu ni siri tu hata ambazo hazina sababu
 
Kwamba hii tiba imeanza tanzania??? Ya kidonge kimoja kwa miezi 6... au iko private kwa maana ya kulipia
 
Kwa sababu viongozi wetu wanajua hospitali zetu ni za walala hoi na hazina huduma nzuri,Hivyo huenda India ambako viongozi wa huko India wanajua namna ya kutumia Kodi za wananchi wao kuboresha huduma za kijamii kama hospital za umma.
 
Watu wowote wasiokubali kuchangamana na Watu wanaoshirikiana nao kila kukicha Kwenye shughuli mbalimbali ni hayawani.

Asili haipo ivyo, unapokaa karibu na kitu chochote iwe waridi au kinyesi ni lazima uendanenacho baada ya muda, wao wanawezaje kua pure Kwenye race Yao eneo letu after a lot of decade.!? Jibu ni moja tu ni washenzi.

Wana ajenda zao nyingi tu, ambazo hata watoto wao waliowazaa hapa inchini hawazifahamu bado, inazoruhusu inchi hii ya matahira kuwa koloni Lao bila ya sisi kukubali hilo kuwa tunatawaliwa nao, na viongozi wetu ndio wale machifu wazamani waliouza ndugu zao kwa kuepuka ghasia, kumbe ndio wanabomoa

Watu wapo karibu 1.5B bila kuwa hayawani unategemea watasurvive vipi.? Usikae karibu na simba wala chatu mwenye njaa ni suala la muda tu

Mimi Nina uhakika kabisa kwamba 💯 Kwenye Afrika inchi ambayo iko the mostly like India na wanajihisi comfortable kuwepo Tz ni no1, so be care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…