Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Duhhh. . Kama kuna kikundi cha wahuni wamefanya ujinga huu.. Basi amekosea sana 😕😕😕.
 
Hata mimi nashangaa aisee.

Pale Mloganzila huduma zimeboreshwa lakini hawaendi wao wanakimbilia India tu.

Ni wakati sasa Serikali ipige marufuku hawa waheshimiwa kwenda kutibiwa nje, wakiumwa waende Amana, Mloganzila, Muhimbiri na wengine kama kule Mbeya wapelekwe Meta hospital, tuna Ligula Mtwara hospitali Bora kabisa yenye wabobezi.
 
Mkuu nadhani kupelekwa India au SA siyo hoja,lakini umma ungekuwa unajulishwa tatizo ni nini kama ulivyosema kwenye hoja yako.
Na inavyoonekana huenda Mawazi na Wabunge na viongozi wengine wa taasisi mbali mbali wanatembea wanaumwa kuliko tunavyofikiri.
Na huenda walio wengi ni HIV victims ndiyo maana wanaogopa kutibiwa katika hospitali zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…