Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umegusia jambo la msingi sana juu ya kuficha ukweli kuhusu afya ya viongozi hususani kufanya siri hadi pale mauti ya apofichua.na pia umegusia ushinda i mkubwa wa kupata nafasi hizi adhimu aliyokuwa nayo Ndugulile lakini ni a swali kwako umezungumzia upande mmoja wa shilingi juu ya uwezekano wa Dr. Kupotezwa kwaniMke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
Mkuu nimekupata vyema ila nina swali "Wajua njia aliyotumia Dr. Kufika hapo alipo ishia au maradhi"? Umetumia emotional badala ya intellectual Bro kama unahoji ya Mafuru ina maana kitengo cha vetting kwa majibu wa ripoti ya kansa walikuwa wapi kutoa uteuzi Mzito kama ule???,Mapinduzi Baridi Tz yaliañza rasmi 1972 ila yaliasisiwa 1977 na kupata Baraka 1984.Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
Wasiwasi wangu ni maneuver yalifanyika pale pale Congo, kwenye ulimwengu wetu tiba na Afya, human being ni very weak creature , na tunaijua anatomy ya human being exactly tunavoijua body smell zetu
Kifo cha human kinaweza kuwa induced slowly and within a specified period of time , as you suggested ulinzi wake ulipaswa kuwa priority kwa Taifa, shida kubwa CCM hawana kitu vichwani ni anaupiga mwingi ameweza ameshinda uchawa uchawa
West , North Africa ni very cruel creatures , I know them and some of them ninafanya nao
Kazi, selfishness
Faustine hakuwa na elimu kubwa kuwazidi wao, and he had very few published papers , while others walikuwa na more than 100 papers ……but akashinda kwa jitihada za URT, hi ilikuwa ni red light tumpe ulinzi.
Na ulinzi sio mapolisi, no one deal na gun now days , Ulinzi wa kisayansi sijui kama naeleweka
Tunasema tuna maafisa vipenyo, maafisa vipenyo are not trained to be smart but Dumb , ni kazi kupeleka umbeya here and there .walipaswa kuona hiyo post ina maslah makubwa kwa taifa, they should be ahead of time na kuuona ukweli. Sio Afisa kipenyo anazunguka na boda boda kufuatilia maisha ya watu , ni kuwafanya kuwa wajinga zaid. Kila kitu ni Sayansi and technology
Hapo TZ ni watanzania wangapi wapo kwenye makampuni ya UN , WHO ….. kufika huku ni kipengele kwa sababu hatuna watu kwenye decision making ndani ya hizo area. Utakuta UN ipo TZ but waajiriwa wengi sio watanzania
DG WHO was a lot na kila mwaka anapewa chances za kuajiri watanzania wenye uwezo, Kama vile Rais anavopewa viti maalum na kuteua
Endeleeni kufanya Siri na kupeleka watu india na South Africa
Faustine Ndugulile, A DG-WHO that never was
Huu msiba umeniuma kama kafa ndugu wa tumbo moja tena tuliye pendana.Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
Dr Ndungulile kufa kifo cha very simple kweli, aliumwa nini? Hivi kweli international figure inaondoka kirahisi hivyo?
Naona kama ume m quote vibaya, nilivyomuelewa ni kuwa anything might happen ukiwa kwenye matibabu kwa kanjibah ama kwa madiba system zao ni rahisi kununulikaMatajiri wote wa Saudi na UAE wanaenda India kutibiwa, USA hawaendi kwa sababu madaktari wa India waliosoma India wanapewa visa na kuja kutibu USA.
India ina madaktari wazuri sana hela yako tu. Huwezi kufananisha na madokta Unjani.
Nimeelewa sana mada, unataka kusema India ni poor na doctors wake incompetent. \
YOU ARE WRONG!!
Indía ni cheap, na msiwabeze wahindí siwapendi kabisa lakini kwenye medical wako advancedWhat's so special na Hospital za India??????.
Kila anayekwenda huko anakata moto!!!
UK, USA, NA Europe hakuna hospital za kisasa???
Hivi mnafahamu mnachokijadili? Unafahamu India ikoje kimatibabu? Je, ulishatibiwa mara ngapi nchini India? Unaweza kulinganisha huduma za Daktari wa India na wa Muhimbili? Acheni utani, wengine tuna uzoefu si chini ya miaka 20 tunatibiwa India.Nashangaa hata chuo Cha afya Muhimbili kinapaleka madactari bingwa kwenda kusoma nchini India hali wanakujua hakuna ubingwa wanaupata kule.
Halafu kuna kima mmoja huko juu anasema watanzania tunawaza hela sijui hatuwazi miradi, mwenye hela akiamua usipate mradi hata mmoja hupati na proposal umeandaaHapo lazima watu wauane 130m +78m(60% ya 130m) kwa mwezi almost 200m inaingia kwa family ,a lot of money aisee.
Wapo watanzania wengi wanaokwenda kutibiwa India na wanarudi wakiwa wamepona. Unaongelea vipi mafanikio ya matibabu yanayopatikana kwa hao wanaotibiwa na kurudi wakiwa wamepona?.Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
SeweNaona kama ume m quote vibaya, nilivyomuelewa ni kuwa anything might happen ukiwa kwenye matibabu kwa kanjibah ama kwa madiba system zao ni rahisi kununulika
JK na Mkapa walipoumwa,mbona hawakwenda India?? JK alienda zake Marekani na Mkapa akaenda zake Uswiswi India kuna shida
Toka lini Tanzania ikawa beberu!?INDIA WANATUMIKA NA MABEBERU