Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Madai kwamba kauwawa are far-fetched and baseless. Kwanini waliomtangulia hawakuuwawa? Yeye ni special kiasi gani? Kwahiyo walipokuwa viongozi wa nchi zingine hawauwawi ila akiwa mbongo wanamuua?

Swala ni kwamba wawe wanaweka wazi taarifa za viongozi kuumwa kama alivyofanya mzee JK. Pia wawekeze kwenye huduma za ndani, inafikirisha kila siku wanasifia kuongeza idadi ya vituo vya afya wakati wao wakiumwa hata mafua wanaenda nje. Huko Mloganzila walikowekeza mabilioni aende nani? Wakishindwa kabia waende Europe na America, India ni nchi ya tatu iliyochangamka.
 
Mkuu umegusia jambo la msingi sana juu ya kuficha ukweli kuhusu afya ya viongozi hususani kufanya siri hadi pale mauti ya apofichua.na pia umegusia ushinda i mkubwa wa kupata nafasi hizi adhimu aliyokuwa nayo Ndugulile lakini ni a swali kwako umezungumzia upande mmoja wa shilingi juu ya uwezekano wa Dr. Kupotezwa kwani
Mkuu nimekupata vyema ila nina swali "Wajua njia aliyotumia Dr. Kufika hapo alipo ishia au maradhi"? Umetumia emotional badala ya intellectual Bro kama unahoji ya Mafuru ina maana kitengo cha vetting kwa majibu wa ripoti ya kansa walikuwa wapi kutoa uteuzi Mzito kama ule???,Mapinduzi Baridi Tz yaliañza rasmi 1972 ila yaliasisiwa 1977 na kupata Baraka 1984.
Siwezi kushangaa hayo uwazayo.
Mungu na Mizimu ilinde Tz🇹🇿
 

Mnapenda sana conspiracy theories. Wamefariki marais wakiwa na ulinzi wote ndo sembuse huyu? Kwamba wakifa watu wa kawaida ni sawa ila viongozi inatakiwa waishi milele?

DG-WHO Africa ni position nzuri ila duniani position sio hiyo tu. Kama mtu una qualifications unaweza bid other positions zenye maslahi makubwa kuliko hata hiyo bila kutoa uhai wa mtu. Wewe upo Canada unajua kuna positions kibao tu zinazolipa over 500k USD per annum wakati hiyo haifiki hata 300k ambayo ni hela ya kawaida sana.
 
Huu msiba umeniuma kama kafa ndugu wa tumbo moja tena tuliye pendana.
So sad indeed!!
 
Dr Ndungulile kufa kifo cha very simple kweli, aliumwa nini? Hivi kweli international figure inaondoka kirahisi hivyo?

Kumbe ilitakiwa afariki vp na nani anastahili kufariki 'simple' as you put it?
 
Naona kama ume m quote vibaya, nilivyomuelewa ni kuwa anything might happen ukiwa kwenye matibabu kwa kanjibah ama kwa madiba system zao ni rahisi kununulika
 
Nashangaa sana binaadamu wenzagu wanatenda uovu na kuwanyanyasa binaadamu wenzako wakidhani wataiaishi milele!!
Hakuna atakaye ishi milele..uwe raisi, uwe makamu, uwe waziri mkuu, uwe waziri au mkurugenzi au mbunge ikifika siku yako lazima ufe.
Jambo la msingi tenda mema kabla hujafq.
 
Nashangaa hata chuo Cha afya Muhimbili kinapaleka madactari bingwa kwenda kusoma nchini India hali wanakujua hakuna ubingwa wanaupata kule.
Hivi mnafahamu mnachokijadili? Unafahamu India ikoje kimatibabu? Je, ulishatibiwa mara ngapi nchini India? Unaweza kulinganisha huduma za Daktari wa India na wa Muhimbili? Acheni utani, wengine tuna uzoefu si chini ya miaka 20 tunatibiwa India.

acheni mihemko ya JF
 
Wapo watanzania wengi wanaokwenda kutibiwa India na wanarudi wakiwa wamepona. Unaongelea vipi mafanikio ya matibabu yanayopatikana kwa hao wanaotibiwa na kurudi wakiwa wamepona?.
 
Mimi najua muda wa wakubwa kumalizana hasa ccm umefika!!

Naamini Leo mama akitangaza form zitachapishwa nyingi au hatogombea ataepusha vifo vya wengi sana!

Lakini kama akikaza vufu wale jamaa wa "original plan in and out,code PJLK watasumbua sana wanaojiita chawa wa mama"

Sisi wadogo kwenye mfumo yeti macho TU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…