Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Kwani ange address chumba au sebuleni, ujumbe umefika au haujafika?
 
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Kwahiyo huu utumbo unaouandika hapa ndo sahihi sana, acha kutumika wewe
 
Kaapishiwa hotelini kumbe? Ina maana Pascal Mayalla amenidanganya kuwa ni Ikulu ndogo?
 
Kwenye video,kwa nyuma kuna viti vya baa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…