Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Kuna vitu huwa ninachangia,mtu baadae akija akiniquote mwenyewe huwa ninashangaa kwa kweli.Yaani hata siamini kama ni mimi ndo nilichangia hapa.
Uwezo wa kutabiri mabaya inaonesha una ushetani toka tumboni mwa mama yako,,,na uwezo wako mdogo wa kufikiria ulidhani akifa ndio mtabaki mnanyea kwenye garden za ikulu...... hope kuna ulilojifunza mwenyekiti wenu gaidi,,mikutano ya ndani imepigwa pin na mama yupo location anashoot Hana habari na upumbavu wenu.......lazima mjue hata nchi inajengwa vipi fatilia nchi zote zilizoendea uone walipitia mangapi..... Nawachukia Sana mliofurahia kifo Cha aliyeyatoa maisha yake kwa ajili ya nchi hii
 
Mkuu, unateseka ukiwa waaapiii?
 
Dikteta kashapotea udongoni
 
misukule ya dikteta, rubbish
 
Alama mojawapo aliyoiacha 'Mwendazake' ni kuwachelewesha watumishi wa umma walioajiriwa 2014 na 2015 kupanda vyeo kwa miaka 7/6, madhara ya huu ucheleweshwaji yalikuwa makubwa sana na yatadumu muda mrefu hata baada ya kuondoka kwake.
 
Alitoa maisha yake kwa ajili ya nchi ipi?!!! Ukabila, nepotism, kupotezwa kwa wakosoaji wake, kuua sekta binafsi, kupora fedha za wafanyabiashara kwa kisingizio cha kodi, kupora fedha za wakulima wa korosho na kuua zao hilo, kuvuruga succession plan kwenye utumishi wa umma, kuharibu mahusiano yatu na nchi jirani na pia kimataifa na vituko viiingi sana ndio kufia nchi!!? Labda kama neno husika limepoteza maana au hatulijui
 
Unatia hoja nyepesi isiyo endana na dhana halisi ya ujenzi wa nchi kijana wangu.....nchi kujengwa ni habari nyingine kabisa brthr
 
Unatia hoja nyepesi isiyo endana na dhana halisi ya ujenzi wa nchi kijana wangu.....nchi kujengwa ni habari nyingine kabisa brthr
Kwa taarifa yako hii recession tunayoi feel sasa hivi kama nchi ni impact ya sera za chuki na ubabe wa awamu ya 5

Mama kutokana na kuheshimu kitu kinachoitwa collective responsibility hawezi kusema kua kakuta hazina hakuna kitu.

Shujaa wako angeishi mwaka mmoja tu zaidi hakika makusudio yake ya Watanzania kulimia meno yangetimia
 
Usituletee ujinga wako wote hapa. Magufuli hajawahi kutoa maisha yake hata kwa ajili ya mama yake aje atoe kwa ajili ya watu baki? Mlilishwa nini mpaka kuwa wapumbavu wa kiwango hiki?
 
Taratiiiibu mpendwa. Mimi ni nabii ujue.
 
Kwasasa Rais Samia akienda Chato atalala ikulu ipi? wale waliokua wanasema Ikulu ndogo Chato iko sehemu gani.
 
Poa tu ila 2 ukitoa 1 inabaki 1. Bora kubaki na 1 ikiondoka unakuwa unemaliza. Magufuli alikuwa ana ajenda mbaya iliyojificha ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…