Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #41
kiuchumi hizo siku ni nyingi sana, kuna watu wanategemea kazi walizokuwa wanajishughulisha nazo maeneo hayo.Kiuchumi hapo tumeanguka. Watu itabidi waache kwenda makazini kufanya kazi wakati huohuo hao wageni wanahudumiwa Kwa kugharamiwa na serikali ya Tanzania
Changamoto ya usafiri inaongezeka na inasababisha mrundikano wa watu eneo moja kwa muda mrefu.