Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Issue ni Hotel zenye hadhi.labda Arusha.
Dodoma haina uwezo wa kuhost hao wakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue ni Hotel zenye hadhi.labda Arusha.
Dodoma haina uwezo wa kuhost hao wakubwa
Kwahio barabara hazitafungwa siku nzima?Mkuu hufungwa kwa muda tu, pale msafara wa viongozi wanapotaka kupita, na ni kwa wale wenye vyombo vya moto na baiskeli tu, kwa watembea kwa miguu huruhusiwa kuendelea na shughuli zao kama kawaida, baada ya msafara kupita na askari wa usalama barabarani kujiridhisha kuwa hakuna ratiba nyingine ya msafara wa viongozi basi barabara hufunguliwa mara moja kuendelea na shughuli za kiuchumi, nimeona kwa macho yangu hapa Keko mataa, msafara unapita Nyerere road kutoka Nyerere Air port na kupita barabara ya kati ya mwendokasi kuelekea IKUL.U haupiti juu ya (fly over) daraja.
🙄Tatizo huko hakuna ufukwe wa bahari ndio maana nachelewa.
Ndio mkuu ni kwa muda tu, baada ya msafara kupita shughuli zinaendelea kama kawaida.Kwahio barabara hazitafungwa siku nzima?
Hapa angekuwepo magu mbona huu utoto usingekuwepo tenah ndo idara YakeInabidi wawe na plans,aibu nchi haijajipanga kupokea wageni mwisho kuishia kuumiza wazawa kisa mgeni.
Nijengee kaufukwe kangu basi nije 😊😉
🤣🤣 Imeisha hiyo 🥴Nijengee kaufukwe kangu basi nije 😊😉
Dipresheni hama huo mkoa.JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara ya viongozi wanaokuja kutoka nchi mbalimbali kuhudhuria mkutano wa Nishati Afrika.
Taarifa ya Polisi iliyotolewa leo Jumamosi Januari 25,2025 na Kamanda Kanda Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Jumanne Muliro, imesema Mkutano huo utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Januari 27 hadi Januari 28, 2025, unatarajiwa kuhudhuriwa na zaidi ya marais 25 na mawaziri 60 kutoka nchi mbalimbali za Afrika ambapo pia bajaji na bodaboba hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji katika kipindi chote ambacho mkutano huo utakuwa ukifanyika.
Barabara zitakazofungwa ni pamoja na Barabara ya Nyerere kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwenda katikati ya Jiji, Barabara ya Sokoine, Kivukoni na Lithuli kuanzia taa za Gerezani kwenda Hoteli ya Johari Rotana, Hyatt Regency hadi Ikulu; Barabara ya Ohio kutokea Kivukoni kwenda Hoteli ya Serena na Barabara ya Ghana kutokea barabara ya Ohio kwenda Hoteli ya Onomo
Zingine ni Barabara ya Bibi Titi kutokea makutano ya barabara za Ohio na Ally Hassan Mwinyi kwenda Hoteli ya Crowne; Barabara ya Azikiwe kwenda Hoteli ya Four Points, Hoteli ya Golden Tulip City Center na Hoteli ya Holiday Inn; Barabara ya Morogoro kutokea Sokoine kwenda Hoteli ya Tiffany No. 1; Barabara ya Makunganya kutokea Azikiwe kwenda Hoteli ya Tiffany No. 2 na Barabara ya Garden kutokea barabara ya Lithuli kwenda Hoteli ya Southern Sun pamoja na Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC.
😂 kwahiyo raisi wa zimbabwe alichukua zake za day wokaDereva alikua rais wa Zimbabwe, risiti tunazo
Nilikuwa napita tu siishi huku na dipresheni zao za kufunga barabara.Dipresheni hama huo mkoa.
Hiyo ya hivyo naifaham, hii ya kuwatoa maafisa usafirishaji kwenye maeneo yao ya kazi ni mateso kwetu wasafiri.Mkuu hufungwa kwa muda tu, pale msafara wa viongozi wanapotaka kupita, na ni kwa wale wenye vyombo vya moto na baiskeli tu, kwa watembea kwa miguu huruhusiwa kuendelea na shughuli zao kama kawaida, baada ya msafara kupita na askari wa usalama barabarani kujiridhisha kuwa hakuna ratiba nyingine ya msafara wa viongozi basi barabara hufunguliwa mara moja kuendelea na shughuli za kiuchumi, nimeona kwa macho yangu hapa Keko mataa, msafara unapita Nyerere road kutoka Nyerere Air port na kupita barabara ya kati ya mwendokasi kuelekea IKUL.U haupiti juu ya (fly over) daraja.
Wala sishangai kwa waafrika kukurupuka bila maandalizi
Mwingine nae kabeba vifagio kwenda kufagia barabara
Wao walipokuja UK na kupakiwa kwenye mabasi hawakuona traffic zilikuwa zinaenda tu kila mahali?
Yaani siku zote hizo kweli No hurry in Africa
Basi wafanye hivyo kuepusha hali kama hii ya sasa.Lile eneo.la viwanda
Wanafunzi je ?Watumishi tumeambiwa kesho tusiende job.
Litatosheleza, kuna mahali limeeleza watu wasiende kazini?Nikiambiwa nijieleze naambatanisha bandiko la kufungwa barabara 9
Wa serikali au hadi sisi wa sekta binafsi?Watumishi tumeambiwa kesho tusiende job.
Sekta binafsi waajiri wenu wameshauriwa hivyo hivyoWa serikali au hadi sisi wa sekta binafsi?
Tupe wewe pattern zakoWamekurupuka hawakufanya tathimini ni barabara zipi zifungwe. Mbona ni rahisi kupanga road pattern kwa misafara ya viongozi hao? Hizo siku itakuwa kero kubwa wa wakazi wa jiji la dar, wavumilie tu hakuna namna