Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

Katika nchi ambayo makampuni mengi hayajali haki ya mteja basi Tzii inaongoza. Vitu vya ajabu kabisa yani.

Kwenye usafiri pia, abiria ukichelewa ruksa basi kukuacha, ila basi linaweza chelewa zaidi ya 30 minutes na hakuna fidia kwa abiria kucheleweshwa.

Mambo yetu kivyetu vyetu..!
KIsheria bado hatujitambui kabisa.
 
Wenzao maboresho ni usiku saa nane au tisa
Na ndivyo inavyopaswa kuwa sasa hawa sijui wameleta mafundi maiko kufanya upgrade. Maana kwenye app yao kwa sasa inaingilika ila huwezi kufanya miamala
 
Unaishi nyumban kwa mume wa dada yako, hauli hadi dada yako aliwe usiku. Ndiyo maana mnaona NMB kukosekana huduma zao ni jambo jepesi tu watu hawatakiwi kulalamika, kwasababu nyie wapumbavu pesa zenu mnapewa na waume za dada zenu MATAKO YENU yamelegea
Hawawezi kuelewa mkuu
 
Mambo ya fhedha yanahitaji backup, ni kama umeme. Usihifadhi fedha kwenye kiriba kimoja kikubwa.
Fhedha nyingine hifadhi kwenye viriba vidogo vidogo, mf: Airtel money, mikisi bai Yasi. Au kuwa na bank mbili tofauti unazohifadhi pesa.
Sio kwamba sikuwa na akiba kabisa ila imenikosesha hela
 
Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja.

Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku?
Washaifanya wikiendi iwe chungu
Mwaka Jana Oktoba (October, 2025) wakati CRDB Wana Fanya maboresho kwenye mifumo Yao yakatokea ya kutokea wateja tukaponda sana kuhusu hiyo benki na wengi tuka sisitiza benki Bora ni NMB (😅😅) Leo NMB ime leta usumbufu tume rudi Tena CRDB tunasema Bora uku (😆😆😆😆😆😅)
Yaani wa Tz hatujui hua tuna taka nini.
 
Hata hiyo crdb sio wana makato makubwa mno.
 
Ndio maana kuna control number nilitaka kulipia rita iligoma
Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja.

Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku?
Washaifanya wikiendi iwe chungu
 
Hili tukio ni la nchi nzima na mitandao yote
 
Haya wale wazee wa kulalamika kwenye kila jambo, jiandaeni na kuilalamikia CRDB mana nao tayari wametoa taarifa vile vile kama walivyofanya NMB
 
Back
Top Bottom