Tulibhalegha
Member
- Mar 29, 2026
- 34
- 50
Miamalq imeanza kufeli hata kabla ya tangazo, kwenye hela za watu kama hujui kaa kimyaSasa hilo sio kosa lao ni kosa lako.
Kutokujua sheria sio sababu ya kuhalalisha kosa lako.
Miamalq imeanza kufeli hata kabla ya tangazo, kwenye hela za watu kama hujui kaa kimyaSasa hilo sio kosa lao ni kosa lako.
Kutokujua sheria sio sababu ya kuhalalisha kosa lako.
Taarifa mlipewa au hamkupewa?Miamalq imeanza kufeli hata kabla ya tangazo, kwenye hela za watu kama hujui kaa kimya
Subirin mtandao ukae Sawa mkatoe pesa zenu mpeleke chini ya vitanda vyenu.We si unawatetea eti walitoa taarifa siku mbili kabla, miamalq imeanza kufeli hata kabla ya taarifa so unavyokuja kuwatetea kwa kigezo hicho kumbuka unaongelea hela za watu sio matako
Issue ya pesa haipo hivyo mkuu. Sawa walitoa taarifa sasa kwanini ichelewe hivi kurudi? Kama pesa imeingia ijumaa jioni mtu atafanya nini? ATM yenyewe ina limit kwa siku kama mtu anashida ya ku transfer 2M+ imekuwa na athari sana.N bahati mbaya tupo Tanzania ya wanaopenda kulalamika ovyo, h taarifa waliotoa mara mbili, siku mbili kabla na siku moja kabla, hvy mtu angeweza kufanya miamala yake mapema.
N bahati mbaya tupo Tanzania ya wanaopenda kulalamika ovyo, h taarifa waliotoa mara mbili, siku mbili kabla na siku moja kabla, hvy mtu angeweza kufanya miamala yake mapema.
Ndio mtulie, maboresho yakiisha mtaendelea na miamala.Issue ya pesa haipo hivyo mkuu. Sawa walitoa taarifa sasa kwanini ichelewe hivi kurudi? Kama pesa imeingia ijumaa jioni mtu atafanya nini? ATM yenyewe ina limit kwa siku kama mtu anashida ya ku transfer 2M+ imekuwa na athari sana.
Mm taarifa nimepata mara mbili, sasa ww wa mara moja cjuiTaarifa walitoa siku moja kabla ya update na bahati mbaya Ijumaa wakafunga mapema sana bank zao
Huoni hapo ni siku moja kabla na kisha siku husika mara moja.?
Wenzao maboresho ni usiku saa nane au tisaBinafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja.
Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku?
Washaifanya wikiendi iwe chungu
Wazee, 🙌 nyie n ilimradi tuu mlalamikeHuoni hapo ni siku moja kabla na kisha siku husika mara moja.?
Na ndani ya siku hukusika mara moja .
Mbna ATM na POS zinafanya kazi kama kawaida. Nimewekewa hela kupitia POS nikatoa kwa ATM jana jioni!Unaishi nyumban kwa mume wa dada yako, hauli hadi dada yako aliwe usiku. Ndiyo maana mnaona NMB kukosekana huduma zao ni jambo jepesi tu watu hawatakiwi kulalamika, kwasababu nyie wapumbavu pesa zenu mnapewa na waume za dada zenu MATAKO YENU yamelegea
Kwahiyo ni wewe pekeako nchi nzima umepata hiyo huduma. Unaleta uchawa wa kizimkaziMbna ATM na POS zinafanya kazi kama kawaida. Nimewekewa hela kupitia POS nikatoa kwa ATM jana jioni!
Mambo ya fhedha yanahitaji backup, ni kama umeme. Usihifadhi fedha kwenye kiriba kimoja kikubwa.Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja.
Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku?
Washaifanya wikiendi iwe chungu