Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja.

Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku?
Washaifanya wikiendi iwe chungu
imagine kijumbe ananishusha jina sijatuma hela ya mchezo 🤣🤣🤣🤣
 
NMB

Kwa mara ya kwanza nimejikuta nalala njaa na pesa ninayo kisa tu niliiweka NMB, nilifanya muamala tar25 pesa ikatoka kwenye akaunti ila haikufika nilikotaka iende, tangu hapo kila nikipiga simu najibiwa inashughulikiwa leo imepita wiki nothing has been done, najiuliza hawa watu wanaoperqte katika kizazi kipi? mbona kama wako mwaka 1870 ilihali leo ni 2026 af eti wanasema "mafundi wetu" wanarekebisha mfu.o. Yaani mfumo wa benki urekebishwe siku tatu nzima, katika kizazi hiki? SERIOUS?
 
Back
Top Bottom