Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

Jana kidogo niyakanyage, nimehashia hela selcom jion kabisa kuelekea deadline!!
Ila leo na kesho ni utata, upgrade ya namna gani hiyo wameshindwa kumaliza kwa siku moja?
Ngoja tuone utofauti baada ya hayo matengenezo ila wamefanya muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom